Utatambuaje kama TV yako ni ya Digital?

kumeza ni kubaya sana kuliko kutema wacheni tu hawa ndio wasomi tunaowategemea ati lol
YOU must be living in mars,mimi nimesha experience hiyo change to digital,old tv zote u just buy a reciever and away you go
 

sasa hivi tcra wamesema local channel zote lazima ziwekwe kwenye hao kina startimes na wenzie so usiogope..
 
Mi bado nachanganyikiwa tu mbona mi nina flat LCD screen tv natumia king'amuzi? au sio digital?
 
HAPANA HAPA HAPANA,husipotoshe watu,ambacho hujui sema hujui. unazosema ni analog pia ila zina ubora mkubwa wa kuona picha
acha ubishi nimehudhuria semina za TCRA kuhusu huo mpango, na alichoandika jamaa hapo ni sahihi kabisa!
 
Kumbuka kama haina pa kuweka kadi hajalishi ni slim au zenye utumbo bado itakuwa ni analogue tv. star times wanauza digital tv zenye utumbo na zile flat ambazo hauhitaji king'amuzi. Jiulize swali rahisi,kwanini watu wengine wana LCD ama DLP tvs na bado wanatumia king'amuzi? Na tukae tukijua kuwa hata zenye utumbo zipo digital pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…