Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 207
kwa ufupi ni kuwa hata baada ya desemba 31 tv yako itafanay kazi kama sasa,utatumia kama unavyotumia dvd kucheza video.tv za digital (mara nyingi) zina option ya kuingiza kadi kama za benki
Yangu imeandikwa digital na haina sehemu ya kadi, je ni batili?
inasemekana TV zenye LCD screen ni za Digital ila zile zenye migongo mikubwa na kioo chake kama mboni ya jicho nimeambiwa hizo ni za analogia na kama unataka kuendelea kuitumia bila kununua tv ya flat screen basi nunua kung'amuzi ambacho kitaisaidia tv yako iendelea kuonyesha.
natumai nimesaidia kwa kiasi fulani kujibu swali lako
SASA hapo kapotosha nini,yuko spot onHAPANA HAPA HAPANA,husipotoshe watu,ambacho hujui sema hujui. unazosema ni analog pia ila zina ubora mkubwa wa kuona picha
HAPANA HAPA HAPANA,husipotoshe watu,ambacho hujui sema hujui. unazosema ni analog pia ila zina ubora mkubwa wa kuona picha
there its where we are sory nyingi naona za kijiweni hapa lolTV inakuwa digital or analogue?mh mim nadhan labda sijui hiyo kitu!LCD,LED nk nk na hizo zenye kichogo mnazosema zote hizo ni kwa technology ya kuonyeshea picha,bt sio receiving!my advance chemistry inanikumbusha hiyo ya kichogo CRO na zina frequency generator ambayo hu-burn current/electron na sio mambo ya digital or analogia!
sema mimi nina dish ,hebu toka nje angalia nyumba kumi zinazokuzunguka ngapi zina madishi juuu?????walishaongeza muda. King'amuzi kwa kingereza ni receiver. Sasa mbona recever wengi wanazo. Km una dishi utaendelea kupata ila kwa kutumia antena ndo huwezi kupata. Hii itawakumba watu wengi wa dar sisi wa mikoani long time tuna madishi
kumeza ni kubaya sana kuliko kutema wacheni tu hawa ndio wasomi tunaowategemea ati lolSASA hapo kapotosha nini,yuko spot on
Combination | Result |
[SIZE=-1]Analog source to analog TV[/SIZE] | [SIZE=-1]Analog picture (good)[/SIZE] |
[SIZE=-1]Digital Source to analog TV[/SIZE] | [SIZE=-1]Analog picture (better)[/SIZE] |
[SIZE=-1]Digital source to digital TV[/SIZE] | [SIZE=-1]Digital picture (best)[/SIZE] |
jamani tunacho bishana ni nini hapa? LCD screen nyingi zinazoingia ni DTV (Digital TeleVision au HDTV (High-Definition TeleVision). hizi zote digital television ambazo zina inbuilt receiver. kwa mwenye TV hii haitaji kununua kingamuzi ili apate matangazo ya public tv labda kama anataka kupata matangazo ya channel za kulipia. Tv za zamani ambazo zina mgongo zote zilikuwa ni za analogy. na kwa vile wazambazaji wa masiliano ta TV walikuwa wanatumia technologia ya analog kurusha matangazo ndo maana tukawa na mfumo wa analog source to analog TV. Pia kuna warusha matangazo ambao walishaanza kutumia technologia ya Digital lakini kwa vile wateja wao wengi wanatumia analog Tv, ilibidi warushe matangazo ya kutoka mfumo wa digital kwenda analog (digital source to analog tv). Tunakoelekea ni kuwa option ya analog itafungwa rasmi decemba kwa watoa matangazo kwa vile wote watahamia digital ila watumiaji watasaidiwa kuendelea kutumia tv zao za analog kwa kupachika king'amuzi ambapo sources zote zitakuwa digita lakini wapokeaji watakuwa mchanyiko (yaani wale wenye analogy TV wakisaidiwa na ving'amuzi kupata matangazo (digital source to analogy TV kupitia ving'amuzi) na wale wa Digital tv (digtal source to digital tv). Angalia Jedwari hapo chini. hiyo row ya kwanza ndo itafutwa kabisa
Combination Result [SIZE=-1]Analog source to analog TV[/SIZE] [SIZE=-1]Analog picture (good)[/SIZE] [SIZE=-1]Digital Source to analog TV[/SIZE] [SIZE=-1]Analog picture (better)[/SIZE] [SIZE=-1]Digital source to digital TV[/SIZE] [SIZE=-1]Digital picture (best)[/SIZE]