game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,402
- 23,326
Taasisi zipi mkuu?, labda hauna uelewa na soko la ajira.Tukisema UDOM ni chuo cha kata kama zilivyo shule za kata wanakataa, ni chuo kilichoharakishwa kujengwa Kwa sababu tu za kisiasa so itatake time kidogo matatizo kama hayo kuisha, ndo maana aliyemaliza chuo Mwenye chuo hicho wanasota sana kipata kazi maana taasisi nyingi sasa hivi hazina kabisa imani na chuo hicho labda baada ya miaka kadhaa
Kwa ujumla graduates wa vyuo vyote Tz wanafanana tu., kama kuna tofauti ni ndogo sana na zinatokana na juhudi binafsi za mhitimu.