ujue kampun zinapotengeneza kioo zinaonesha vile vioo kwa watengeneza simu. makampun ya simu yanachukua vile vioo kisha wanaongeza umate mate wao kama ni nokia ataeka cbd, super sensitive na layer zake anazojua, kama ni iphone wataeka retina na layer zao then wakisha design kile kioo vinarudishwa tena kutengenezwa kwa wingi.
vile vitu ambavyo vimeongezwa kama retina display vinafanya kile kioo kisiwe kinaingia simu nyengine sababu ile simu hawajaidesign na technolojia ile.
ila hawa wachina cheap vinaingiliana vioo sababu havina extra quality yoyote ile. wananunUa wanabandika.