babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,426
- 3,309
Kwa nn ni vigumu kubadilisha screen za simu kutoka kampuni moja kwenda ingine ikiwa ukubwa ni sawa?
Mfano watu wanalalamika eti sreen ya simu A si nzuri ni glass ngumu tu wakati kuna screen za gorila za simu B ni nzuri na ni sawa kila kitu tofauti eti ni kampuni tu. Mfano simu za inch nne vioo kwa nini zisibadilishane hizo screen.