Utata wa ratiba ya kampeni za dr slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata wa ratiba ya kampeni za dr slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUKUTUKU, Oct 21, 2010.

 1. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi ni muumini mkubwa wa utendaji wa CHADEMA,na hasa utendaji kazi aliouonyesha Dr Slaa.Naamini Chama hiki kinaweza kunifikisha kwenye ndoto yangu ya utumiaji wa rasilimali za nchi kwa faida ya nchi na kupambana na ufisadi.Nimeshindwa kuficha hisia zangu kwa ndugu na jamaa zangu wa karibu.Kuna swali moja huwa wananiuliza ambalo limenishinda kulijibu au huwa nalijibu, lakini si kwa ufasaha.
  Swali lenyewe linahusu ratiba ya kampeni ya Dr slaa,wanauliza mbona anakwenda maeneo ambayo alishakwenda?kwa mfano alishakwenda Shinyanga na Mwanza ,lakini mbona bado anakwenda tena, wakati bado kuna maeneo mengine ambayo bado ajakwenda kama Tanga,Pwani,Lindi,Mtwara na Zanzibar.Alipokwenda Tabora mbona hakwenda Sikonge na Urambo?Nimejaribu kutembelea website ya CHADEMA ili niweze kujua ratiba za kampeni za Dr Slaa,lakini sijapata ufafanuzi kwa kuwa website ya CHADEMA,kwa sasa haipatikani.

  Wana Jf mwenye maelezo ya kutosha naomba ufafanuzi!
   
 2. K

  Kibode Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yap,hata mimi nimeliona hilo japo nadhani mikoa hiyo strategically imewalazimu warudi mara mbili,kumbuka jk keshaenda mara mbili na ana mpango wa kurudi huko tena tar 25,kukusaidia website ya chadema jaribu Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) utawapata live bila zengwe.

  New Member
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Madrasa!!!

  Huko wana msemo wao "Muislamu mmoja = makafiri 10.

  Lakini ataenda tu.
   
 4. K

  Kibode Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeona waraka huo unaosemekana umetoka kwa waislamu,kwa jinsi nilivyoutafakari ukipewa nafasi utatumaliza kabisa watanzania.TUSIUPE NAFASI HATA KIDOGO.
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA = Watanzania wote. Upo hapa kiushabiki zaidi. Tuweke ratiba uliyonayo tuone kama ina tofauti na yetu...au na yenyewe mmechakachua...Ndivyo mlivyo
   
 6. p

  pierre JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizo ni strategy za kampeni,kwani hujui technics mbalimbali za namna ya kutafuta ushindi.Hata kwenye mechi za mpira wa miguu jamaa wanaweza kucheza nusu uwanja kuwavuta wapinzani wao ili akitoka mshumbulaji afunge kiurahisi,hali kadhalika katika siasa kuna mbinu zake.CHADEMA wanazijua na wamewasoma vizuri wapinzani wake.
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahahahahaha,i got what you mean ila kauliza kwa wema nadhani atakua ametumia link alopewa ingawa kweli ilikua haipatikani
   
 9. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  yes yaweza kuwa technics lakini - sorry to say this - hata mgawanyo wa mambo ya maendeleo mwisho wa siku utaendana hivyohivyo. kwenye wapiga kura wengi wa chama fulani lazima wasikilizwe zaidi ili waendelee kutoa kura uchaguzi unaofuata.
  mimi nafikiri kura ni kura. ratiba ilipangwa vibaya mgombea alipaswa kufika maeneo yote. walikuwa na muda wa kutosha
  Lindi na Mtwara kuna wananchi wengi huko watanzania
   
 10. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Ukitaka jibu sahihi kwa nini ameweka nguvu nyingi mikoa ya Mbeya, Shinyanga na Mwanza nenda kaangalie idadi ya wapiga kura kila mkoa katika Website ya NEC. Nilikuwa na maswali kama yako lakini baada ya kuona idadi ya wapiga kura kwa kila mkoa The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage nimegundua wana strategy ya ushindi

  Voters Registration

  st1\:*{behavior:url(#ieooui) }
  Na.
  Mkoa
  Jumla ya Wapiga Kura katika DB
  Uboreshaji Awamu ya Kwanza 2007/2008
  Wapiga Kura Wapya
  Masahihisho
  Waliokufa
  1​
  ARUSHA
  723,874​
  73,629
  27,798​
  1,109
  2​
  DAR ES SALAAM
  1,912,662​
  231,547
  97,869​
  1,476
  3​
  DODOMA
  849,561​
  90,122
  32,617​
  2,910
  4​
  IRINGA
  758,262​
  84,201
  31,670​
  10,183
  5​
  KAGERA
  1,048,294​
  133,700
  56,244​
  10,502
  6​
  KIGOMA
  666,114​
  65,136
  21,604​
  1,383
  7​
  KILIMANJARO
  739,529​
  78,129
  32,874​
  3,803
  8​
  LINDI
  450,620​
  61,965
  28,574​
  2,476
  9​
  MANYARA
  533,894​
  49,602
  18,357​
  905
  10​
  MARA
  752,906​
  88,967
  33,738​
  2,049
  11​
  MBEYA
  1,056,126​
  104,272
  34,460​
  5,566
  12​
  MOROGORO
  988,113​
  92,516
  36,878​
  2,761
  13​
  MTWARA
  658,220​
  85,535
  39,164​
  3,130
  14​
  MWANZA
  1,586,919​
  188,679
  79,938​
  3,795
  15​
  PWANI
  518,841​
  48,582
  22,686​
  1,744
  16​
  RUKWA
  489,289​
  61,204
  20,067​
  1,867
  17​
  RUVUMA
  607,920​
  103,120
  30,761​
  2,775
  18​
  SHINYANGA
  1,380,953​
  151,642
  53,279​
  2,306
  19​
  SINGIDA
  545,074​
  62,445
  22,753​
  1,640
  20​
  TABORA
  840,014​
  116,510
  39,828​
  2,262
  21​
  TANGA
  891,942​
  102,562
  45,011​
  4,519
  22​
  * ZANZIBAR
  15,540​
  0
  0​
  0​


  18,014,667
  2,074,065
  806,170
  69,161


   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2010
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Labda kama inavyo fahamika huyo ni mtu aliyetumwa na kanisa. sasa huko anajua fika hakuna bao. hana chake.

  Chadema ni chama cha udini (ukatoliki ) na ukanda (kaskazini)

  Pole sana Dr wa ukatoliki. Jitahidi na kanisa lipo nyuma yako
   
 12. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ndo nini sasa? Nafikiri mleta maada kauliza kitu cha msingi sana!! Umesoma alichoandika na kukielewa? Huu si utani mzuri kwenye maada ambazo zipo serious!
   
 13. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  pole sana kaka kwa kuwa maskin wa fikra,mbeya,ruvuma,iringa,rukwa,kigoma,morogoro na dodoma,dr slaa kuenda,je mikoa hii ni mikoa ya kaskazin?alafu kuhusu udini hiyo ni kasumba ya ccm nyie ndio muliosema cuf ni chama cha kidin na leo munasema chadema ni chama cha kidin,nyie mukiona chama kinanguvu munakimbilia kusema udin na ukabila wakati ccm ndio munaendekeza udin,mbona zitto kabwe ni muslim na ndiye naibu katibu mkuu wa chadema..sasa angalia ccm safu ya juu ndio utakapoona udin uko wapi?hapa hatui uaskofu wala ushehe,tunachagua kiongozi ambaye anaweza kulinda maslah ya watanzania wote na sio maslah ya wachache..ijumaa njema 2kutane mskitin
   
Loading...