Utata wa neno asilimia

Utata wa neno asilimia

Upo sahihi, typing error, ni 150% not 300%.
Hesabu zako za msingi zina makosa.

3m is 150% of 2m, not 300%.

300% ya 2m ni 6m.

300% ya y ni y X 3.

300% ya 2m ni 2m X 3, ni 6m.
 
Aliyekwambia asilimia haitakiwi kuvuka mia ni nani? Inaweza kuwa hata 400% .kama chungwa linauzwa 200 baada ya muda likauzwa 600 tunasema bei imepanda kwa asilimia 200
Ukijumlisha zile namba za asilimia zilizogawanywa, mbali na ile namba ya kwanza ya jumla namba inakuwa kubwa zaidi ya mia;

hapo neno asilimia halipotezi maana kwa kuwa badala ya mia imekuwa 100+?
 
Hesabu zako za msingi zina makosa.

3m is 150% of 2m, not 300%.

300% ya 2m ni 6m.

300% ya y ni y X 3.

300% ya 2m ni 2m X 3, ni 6m.
Hapo sikuelewi!
Ndo kabisaaaa umeniuza, hapo naanza chekechea
 
Ukijumlisha zile namba za asilimia zilizogawanywa, mbali na ile namba ya kwanza ya jumla namba inakuwa kubwa zaidi ya mia;

hapo neno asilimia halipotezi maana kwa kuwa badala ya mia imekuwa 100+?
Haujaelewa mkuu,kwasie tuliosoma BAM Dr yupo sahihi.......Anaposema 70% ya mwili ni maji anamaanisha ukichukua content ya maji mwili mzima yaani ukichukua maji yaliyo kwenye damu,kwenye mifupa,kwenye ubongo,kwenye misuli etc ukagawanya na contect ya vitu vingine vya mwili mzima basi 70% ni maji.

Akaja kusema 85% ya cell za ubongo ni maji,hapa amekuwa specific kwa ubongo peke yake yaani ukipima ubongo wote peke yake kuna 85% ya maji mule.
 
Aliyekwambia asilimia haitakiwi kuvuka mia ni nani? Inaweza kuwa hata 400% .kama chungwa linauzwa 200 baada ya muda likauzwa 600 tunasema bei imepanda kwa asilimia 200
Hata kama mantiki ni hiyo, we unaona mpangilio wa hoja ya msingi unawiana na hoja yako?
 
Haujaelewa mkuu,kwasie tuliosoma BAM Dr yupo sahihi.......Anaposema 70% ya mwili ni maji anamaanisha ukichukua content ya maji mwili mzima yaani ukichukua maji yaliyo kwenye damu,kwenye mifupa,kwenye ubongo,kwenye misuli etc ukagawanya na contect ya vitu vingine vya mwili mzima basi 70% ni maji.

Akaja kusema 85% ya cell za ubongo ni maji,hapa amekuwa specific kwa ubongo peke yake yaani ukipima ubongo wote peke yake kuna 85% ya maji mule.
Ok
 
Ama umesahau hesabu, hujui, mbishi, au kupitiwa. Msingi wetu unalinganishwa na 100, kwa hiyo kama ulikuwa unalipwa sh 1m ukaongezwa na kuwa 2m, umepanda kwa 100%. Lakini kama ungeongezwa kutoka 1m mpaka 3m utakuwa umepanda kwa 200% .
We tuko pamoja katika hilo, japo ufafanuzi umeeleweka kwamba zile asilimia ni kontent za kiungo kimoja kimoja zilizogawanywa na kutenga kiwango cha maji katika kiungo husika
 
Ama umesahau hesabu, hujui, mbishi, au kupitiwa. Msingi wetu unalinganishwa na 100, kwa hiyo kama ulikuwa unalipwa sh 1m ukaongezwa na kuwa 2m, umepanda kwa 100%. Lakini kama ungeongezwa kutoka 1m mpaka 3m utakuwa umepanda kwa 200% .
 
Hayuko sahihi.
85%+82%+75%+25%=267%
Hapo kwenye misuli ba mifupa tu pekee kuna 100%
Wadau wamesema, asilimia zinazotajwa kwenye kila kiungo zimegawanya kutoka kiungo hicho tu, siyo kutoka mwili mzima!

Ndivyo nilivyowaelewa, japo mjenga hoja sentesi zake hazikutanabaisha hivo
 
Hodi hapa kwa leo, make nina siku mbili tatu...bila kuingia humu;

Salaam kwenu.
Nimekuja hapa naomba ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa hesabu.

"Maji huchukua karibu 70% ya mwili wa binadamu, ambapo seli za ubongo zina karibu 85% ya maji, misuli huwa na 75% ya maji, mifupa huwa na 25% ya maji na damu huwa na karibu na 82% ya maji"

Soma vzuri hapo utaona. Asilimia zilizotajwa hapo ni za maji yaliyopo katika mwili.
 
Ama umesahau hesabu, hujui, mbishi, au kupitiwa. Msingi wetu unalinganishwa na 100, kwa hiyo kama ulikuwa unalipwa sh 1m ukaongezwa na kuwa 2m, umepanda kwa 100%. Lakini kama ungeongezwa kutoka 1m mpaka 3m utakuwa umepanda kwa 200% .
Siwezi kubishana na kilaza wa hesabu
 
Somo la comprehension lirudi shuleni wazee...

Sentensi haina shida mzee baba.... ni sawa na kusema 70% ya wanaJF wanachat PM kila siku.

80% ya wanaochati PM kuhusu mapenzi wanakutana na kuonana..
Umemueleza ki-legendary mkuu.
 
Umemueleza ki-legendary mkuu.
Nishamjibu, hilo somo likirudi shule halitakuwa na manufaa kwangu, yeye atoe elimu hapa ili nielewe mimi, na pia nimegundua kuna wengine tunafanana uelewa juu ya hili
 
Imenikumbusha kipindi hiki cha corona kuna mwalimu aliuza bembea kwa 25,000 alilolitengeneza kwa 200,000. Kuna dogo wa shule ya msingi akauliza huyo mwalimu kauza kwa hasara ya % ngapi? Kila mtu alitoa jibu lake.
 
Hodi hapa kwa leo, make nina siku mbili tatu...bila kuingia humu;

Salaam kwenu.
Nimekuja hapa naomba ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa hesabu.

Nimekutana na ubishi mahala mtu aliyejitanabaisha kama Dk.... akibishana na mwenzake kujusu sentesi ambayo mwenzake alisema haina mashiko, je hii sentesi ya Dokta iko sawa kwa mujibu wa mgawanyo wa asilimia?

"Maji huchukua karibu 70% ya mwili wa binadamu, ambapo seli za ubongo zina karibu 85% ya maji, misuli huwa na 75% ya maji, mifupa huwa na 25% ya maji na damu huwa na karibu na 82% ya maji"
Mwili wote wa binadamu: Maji=70%; mifupa 30%

Maji peke yake: 85%+75%+25%=185%

Kwa hiyo
185%-------=70%

85% Seli (maji)
185%-------=70%
85%------=?
Seli=32.16%

75% Misuli (maji)
185%-------=70%
75%------=?
misulii=28.38%

25% Mifupa (maji)
185%-------=70%
25%------=
Mifupa-9.46%

Jumla ya maji: Seli(32.16%)+misulii(28.38%)+ mifupa(9.46%)=70%
 
Back
Top Bottom