itakuwa kuna mtu mwingine alipewa hiyo mimba siku za mwanzoni inawezeka ameikataa au huduma haziko poa ndiyo maana amejirudi kwako akiwa mnyenyekevu anaogopa kuharibu na kwako.
Mtoto ni baraka mwayaa we leaa tuu lakini fanya calculation zako upate uhakika