Fafanua kidogo mkuuYou are an oversexed ape!
Ni kweli pengine na yeye anataka kama si kila siku kwaio labda anamuonea aibu kumwambia mumeweMwambie mkeo tatizo lako
Huwezi jua anaweza akakupa zaidi ya anavyokupa sasa
HahahahaMwambie akupe ama akuoneshe form 34A na 34B.
Asikufichie sana Haki yako....
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahhaahMwambie akupe ama akuoneshe form 34A na 34B.
Asikufichie sana Haki yako....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli pengine na yeye anataka kama si kila siku kwaio labda anamuonea aibu kumwambia mumewe
What goes around always comes around
Tumediscuss hilo suala...nampa sana mavitu kiasi kwamba naona kweli anachoka na sitaki kumfanya chombo cha starehe..Mwambie mkeo tatizo lako
Huwezi jua anaweza akakupa zaidi ya anavyokupa sasa
Mkuu we endelea na satellite zako mwenye nuclear naye afanye..mi siwezi kuwa wewe n vice versa z trueTutakaa kweli turushe sattelite angani kama akili zetu ndo hizi?
Itachukua muda gani kukoma....
Baada ya kudiscuss akakupa solution ipi?Tumediscuss hilo suala...nampa sana mavitu kiasi kwamba naona kweli anachoka na sitaki kumfanya chombo cha starehe..
Umeanza lini kumtamaani sana mkeo? anaonekana yuko bomba sana, hebu tupia kapicha kake hapa ila mkate uso!!!Naomba ufafanuzi toka kwa watu wazima wenzangu..
Nina mke ananipa haki yangu ya ndoa mara tatu kwa wiki...lakini nashangaa pamoja na kupewa yote lately siridhiki na mwanamke mmoja maana nakuwa namtaka sana kiasi kwamba naona wakati mwingine kama Inakuwa too much...
Je suala hili linahusiana na umri maana Kabla niliweza ridhika tu na hizo mara tatu
Sasa hivi nina moto sana na haya mambo in short mtu mmoja hanitoshi..Tatizo ni umri au nina matitizo binafsi..
[HASHTAG]#Ushauri[/HASHTAG]