Haya wana chit chat mis u jamani. Long time
Nilikuwa kwenye shughuli moja ilijumuisha watu wengi tukifanya teammworking. Sasa basi wakati kazi inaendelea kuna maneno ambayo watu walikuwa wakiyaongea wakiwa na maana safi kabisa but watu either walikuwa wanashangaa au wanakauka kucheka. Km ifuatavyo;
1. Hebu chomoa
3. Ingiza yote
4. Wewe umeshaifikia KILELENI (jina la shule)
5. Nifanyie hii hesabu.
6. Jaribu kwa nyuma.
7. Jaribu kuzinasisha.
8. Lamba mate, lamba mate kazi iende.
Haa watu weee, unaweza kutoa tafsiri rasmi na tafsiri isiyo rasmi ya visentensi hivi, ukihusisha na mambo yetu yalee