Utata wa malipo kwa mke wa Mudhihiri

Mbunge wa zamani wa jimbo la mchinga ndg Mudhihiri ambae kwa sasa ni mjumbe wa bodi ya korosho Tanzania, amekuwa akipokea malipo ya matunzo kwa ajili ya ulemavu wake wa mkono uliokatika mwaka 2008.

Malipo haya yamekuwa yakipokelewa na mke wake ili kumtunza kwa ajili ya kufanikisha majukumu yake kama mjumbe wa bodi.

Suala hili limeibua utata wa hali ya juu kwani yameibuka maswali mengi ilhali hakuna jawabu hata moja.

Ni sheria au kanuni gani zimetumika kuidhinisha malipo haya kwa mke wa Mudhihiri kisa ni mlemavu?

Ni majukumu gani mazito yanayohitaji kugharamiwa matunzo na serikali?

Malipo ya aina hii yanafanyika kwa wafanyakazi wa kada zote walio na ulemavu wa viungo au hili lamuhusu Mudhihiri peke yake.

Mudhihiri alivunjika mkono tangu 2008 akiwa mbunge,je bunge nalo lilikuwa linamlipa mke wake posho ya kumtunza mume wake?

Mudhihiri kwa sasa ni mjumbe wa bodi ya NSSF, kutakuwa na usalama huko?

Nge nge ngeeeeeeeeee,tafakari.
haijalishi unajua nini....bali unamjua nani?...hivi mke na mume si kitu kimoja jaman(mwili mmoja) so how comes a wife apokee posho just because of taking care of her husband....?
 
haijalishi unajua nini....bali unamjua nani?...hivi mke na mume si kitu kimoja jaman(mwili mmoja) so how comes a wife apokee posho just because of taking care of her husband....?

ndio ushangae maajabu hayo.
 
Back
Top Bottom