Utata wa malipo kwa mke wa Mudhihiri

Mudhihhri MWOGOPE MUNGU usitafune hela za watu kwa kisingizio cha ulemavu, kuwa na huruma mana walemavu wako wengi sana na wengine hawajiwezi wanalala tu wanajisaidia hapohapo na hawana kipato chochote,maisha yao ni magumu sana hakuna anayewajali,Wewe Mungu amekujalia angalau unakipato kizuri, acha kufanya utapeli wa waziwazi MUNGU ANAWEZA KUKUPA ULEMAVU MKUBWA ZAIDI ohoo
 
kuna umuhimu uchunguzi ufanyike haraka iwezekanavyo
Wapi PCCB?
 
Kama sikosei huyu ndiye aliyeomba mwongozo Zitto akasimamishwa ubunge. Chezea Zitto!
 
yaani hii serikali kula kukicha ina jipya!dah,kweli tz tuamke jamani,kuna vilema wengi na hawahudumiwi kwa chochote ilihali ni wafanyakazi wa serikalini
 
kwanza mi nashangaa sana huyu mzee kakatika mkono tu, je angekatika na miguu ingekuaje??,
mwenyekiti wa bodi Ana Abdalah acha kumdekeza huyu mwana mtwara mwenzio, sijawai kuskia mlemavu anasaidiwa kwenye kikao!, mbona sikumuona akimsaidia kufanya MITIHANI yake kule Open University??????????
ufisadi mtupu, loh.
 
Kumbe ni malipo kutoka bodi ya korosho?? Huu kweli ni ufisadi.

Halafu unawaona mtaani wamevaa na suruali kumbe ni mijitu haina hadhi hata ya kutembea mtaani. Ndiyo maana ameacha ile kazi yake ya kutunga nyimbo za taarabu na kuwauzia wanamuziki wa vikundi vya rusha roho! Lakini haya yote anayafanikisha Mwenyekiti wa Bodi, Mama Anna Abdallah ambaye ndiye pia mmoja wa waliohongwa na serikali ya Morocco kwa ahadi kwamba Tanzania itatambua harakati zake kule Saharawi.
 
Walemavu wote wa viungo nchi hii tuanze kwenda na wake/waume/ndugu zetu makazini kama wasaidizi wetu na tudai walipwe mishahara au posho kama mke wa Mudhihir Mudhihir!

Sijawahi kuona sheria ya nchi ikutungwa kwaajili ya mtu mmoja tu!

hahaha hiyo kaali siku ccm ikiondoka watajuta kuzaliwa
 
Ndio vyanzo vya mapato ukiwa sisiemu.tatizo sisiemu wanajua watanzania wote ni wajinga.wajinga ni wanachama wa sisimu,sisi wengine tuna akili timamu.aibu iliyoje hii nchi?! Akafu unalikuta jitu hata mia halina alakini bado linakwambia sisiemu ndio baba na ndio mama.
 
kwanza mi nashangaa sana huyu mzee kakatika mkono tu, je angekatika na miguu ingekuaje??,
mwenyekiti wa bodi Ana Abdalah acha kumdekeza huyu mwana mtwara mwenzio, sijawai kuskia mlemavu anasaidiwa kwenye kikao!, mbona sikumuona akimsaidia kufanya MITIHANI yake kule Open University??????????
ufisadi mtupu, loh.

huyu mzee ni janga la taifa.
 
yesu na maria aisee hii nji isha uu...ishauzwa......kwa kweli wa tz nikiwa mmoja wapo niliyeshtushwa na mabadiliko ya sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii, naweza sema we are not agresive at all kwa sababu hii isue ya mifuko ya hifadhi ya jamii tayari CAG alishaweka bayana kwamba mifuko iko ICU, nadhan ilikuwa iwe chanzo chetu cha kuandamana kila mtu apewe chake na tuweke wazi kuwa hatuna imani na mifuko hii, kama vp kila mmoja awekewe chake kwenye fixed acc. yake na c huu utapeli wa kimacho macho ambaop tunafanyiwa... Alafu bila haya wala aibu eti iyo taasisi ya kusimamia mifuko hiyo inachapisha magazetini eti mifuko iko salama kabisa wakati ukweli unajulikana....nyoooooooooo ..shame on u...yani ndo mana kumbe waarabu wanajifungaga mabomu hiv hiv, inakera sana........
 
Back
Top Bottom