B51
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 569
- 781
Source of information please.
Abraham Lincoln alichaguliwa kwenye baraza la wabunge mnamo 1846
John F Kennedy alichaguliwa katika baraza la bunge mnamo mwaka 1946
Abraham lincoln alichaguliwa kuwa rais wa marekan mwaka 1860
John kennedy alichaguliwa kuwa rais wa Marekani mnamo mwaka 1960.
Wote walikuwa wapigania haki za binadamu
Wote walifiwa na mtoto wakiwa wanaishi white house (ikulu ya marekani)
Wote waliuliwa(kupigwa risasi) siku ya ijumaa
chakushangaza zaidi
Secretary wa lincoln alikuwa anaitwa Kennedy
Secretary wa Kennedy alikuwa anaitwa Lincoln Wote mafanikio yao yalichangiwa na watu wanaokaa kusini mwa marekani (southerners)
Wote waliochangia mafanikio yao walikuwa wakijulikana kwa jina moja LA JOHNSON Andrew Johnson aliye msaidia Lincoln kufanikiwa alizaliwa 1808 Lyndon Johnson aliye msaidia Kennedy kufanikiwa alizaliwa mwaka 1908
JOHN WILKES BOOTH aliye muua Lincoln alizaliwa mwaka 1839 LEE HARVEY OSWALD ambaye alimuua KENNEDY alizaliwa mwaka 1939
Wauaji wote walijulikana kwa majina yao yote matatu Herufi zote za majina yao kila mmoja ni 15 Now Hang on your seat chakushangaza sasa
LINCOLN alipigwa risasi katika eneo linalojulikana kama FORD , KENEDY alipigwa risasi akiwa kwenye gari inaitwa lincoln ambayo ilitengenezwa na kampuni ya ford
=>Wauaji wote BOOTH na OSWARD walipigwa risasi kabla ya kutoroka.
==>Wiki moja kabla LINCOLN hajauliwa alikuwa Monroe,Maryland
Wiki moja kabla ya kuuliwa KENNEDY alikuwa Marilyn Monroe
chakushangaza zaid na zaid Lincol alipigigwa risasi akiwa threater na muuaji aka kimbilia kwenye ghala(warehouse) KENNEDY alipipwa risasi akiwakwenye ghala(warehouse) na muuaji akakimbilia theater
by Cisco
View attachment 1118019View attachment 1118020