psagala1
Senior Member
- Feb 18, 2014
- 156
- 101
Mleta mada atakua ni wale wa global publishersMleta mada monroe n jna la mchepuko wa Kennedy bana umejitahd kulazimisha ukwel

matango pori hayo!Vipi
Mleta mada umejaribu kupika chai kwenye huu uzi wako hadi sasa tangawizi imekuumbua.
nakubali sana hii historia imelandana kila kituHawa ni maraisi wa marekani (katika nyakati tofauti) maisha yao yanafanana kiasi cha kuwashangaza watu wengi sana
ABRAHAM LINCOLN alichaguliwa kuwa raisi mnamo mwaka 1861 na alijihusisha sana na haki za raia na uhuru wa watu
JOHN KENNEDY
alichaguliwa kuwa raisi mnamo mwaka 1961 alijihusisha sana na haki za raia na uhuru wa watu
Majina KENNEDY na LINCOLN yote yalikua na herufi saba
wake zao wote waliwahi poteza mtoto walipo kuwa wakiishi ikulu
KENNEDY na LINCOLN wote waliuawa kwa kupigwa risasi kichwani siku ya ijumaa
LINCOLN alikua na secretary wake alie itwa KENNEDY (alimuonya asitoke nje siku ya mauaji yake)
Pia KENNEDY alikua na secretary wake alie itwa LINCOLN (alimuonya asitoke ikulu siku ya mauajia yake)
alie chukua uraisi baada ya kifo cha LINCOLN aliitwa JOHNSON hivyo hivyo pia alie chukua uraisi baada ya kifo cha KENNEDY aliitwa JOHNSON
JOHNSON alie kuwa raisi baada ya LINCOLN alizaliwa mwaka 1808
JOHNSON alie kuwa raisi baada ya kifo cha KENNEDY alizaliwa mwaka 1908
JONH WILKAS BOOTH ndio jina la muuaji alie mpiga risasi ABRAHAM LINCOLN alizaliwa mwaka 1839
LEE HARVEY OSWALD ndie muuaji alie mpiga JONH KENNEDY alizaliwa mwaka 1939
hawa wauaji wote wawili walifahamika kwa majina watatu yenye herufi 15
Wauaji wote wawili walitokea america kusini
Wauaji wote wawili walikamatwa lakini waliuawa kabla ya kufikishwa mahakamani
C&PView attachment 1164838View attachment 1164839
Duh! Albadir Tena? Ina uhusiano gani hapa?Hiyo ndio kazi ya Albadir...
After another 100 yrsKenedy na Lincoln ni the same person, died and reborn with the same fate, may be he will be born again
Sometimes it happenCOINCIDENCE....!
Sometimes it happenCOINCIDENCE....!
Sio wote mkuu, mimi naifahamu lakini nina uhakika kuna watu walikuwa hawaijuiChief, hii habari inajulikana mno duniani. I bet 95% ya wana JF wanaifahamu.
Kama kwako ni habari ngeni, pole.
Kwa kawaida habari zinazojulikana sana kwa wengi huwa hazina mvuto. Leta vitu vipya Chief.
Hawa ni maraisi wa marekani (katika nyakati tofauti) maisha yao yanafanana kiasi cha kuwashangaza watu wengi sana