BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,682
- 3,406
Mkuu hiyo yakupasuka na hiyo ya Ilunga vimeniacha dilema mkuuSi hivyo tuu
Jamaa alianza kumuua mwlm toka anaanza kuumwa kule butiama, medical records unajua fika DSTV walizifanya nini. Infact alimmaliza Mwalimu kwa style ya JK na watu wake walivyommaliza Sheikh Ilunga na safari ya India.
Teacher alipofika London alikuwa brain dead. Hapo usiniulize kuhusu maiti kupasuka Taifa siku ile