yaan ile unachonga kinyago utishie watu mara gafla kinakua shetani kweli.Pengine boys2men bado wako kazini but in different strategics, labda msukuma kuwekwa kwenyereli yakuelekea jumba jeupe ni part of their plan. Nahis kunamengi yanafanyika tena in very sophisticated ways
Joseph kasoma Sekondari Tanzania na hata Mafunzo ya JKT kayapatia hapa hapa Tanzania akisomeka Kama kijana wa Kitanzania lakin Leo ndio Rais wa Congo, hata Nkurunzinza Mama yake Mzazi Makazi yake ya Kudumu yapo Kigoma!
Joseph mpaka anakuwa Rais wa Congo alikuwa anakijua vyema sana Kiswahili cha Dar Es salam lakin Lugha ya kwao (Kilingala) alikuwa hakijui kwa kuwa Maisha yake yote alikuwa huku Tanzania, Kama Leo Hii anaongea Lingala itakuwa kajifunza akiwa Rais
[quote uid=263902 name="Wissman" post=25034200]lakini sio mwezi wa nne mkuu[/QUOTE]<br />mweshimiwa amekufa tarehe saba mwezi wa nne, swali; maonyesho ya sabasaba yanahusikaje hapa? mbona mnapotezea swali la msingi?
Mamvi Einstein na Vasco da Gamanimeshindwa kuivunja vunja hiyo coded language ya boyz 2 men hebu iweke kwa nmna nyingine
Anakuwa Amevaa gloves ambazo ni transparent kama ngozi tu baada ya tukio anavuaduh nimechek hiyo clip, inakuaje sasa aliye shuka hiyo sumu asidhurike ndani ya muda mfupi kama aliyepakwa?
Wewe nae si ungesoma tu,kulikuwa na ulazima wa kuchangia?ukiwa unawashwa kijambio hizi ndiyo dalili zako.Si bora asome tu kwani ni lazima kuchangia ?
Kipindi alichapwa risasi alikuwa bado yuko ofisini au alikuwa Tatar amestaafu?
It doesnt comeJamani tuweni serious hivi Rais wa nchi nyingine apangwe kumalizwa kwenye nchi ya kigeni tena Kwa chakula cha sumu then chakula kibadilishwe ale mtu mwingine, hakukuwa na mpango huo na wala isingewezekana kwasababu ya mgogoro mkubwa wa Kidiplomasia ambao ungeweza kusababisha hata vita kati ya nchi mbili punguzeni propaganda
Mmeto siyo mmakuwa.HNIC teacher hakuuliwa na mmakua.... lile kundi hatari lililowania mamlaka walijitahidi sana kutumia akili kutengeneza mazingira ili ionekane mmakua ndo alihusika ila si kweli.
Habari ya mwalimu Butiama ilianza na prof David mwakyusa aliyekua mganga wake na kuhitimishwa na muuguzi au mwangalizi wake pale St Thomas London ambae ni Kingunge Ngombale mwiru!!
Connect dots kwa Mwakyusa na Kingunge kuzawadiwa mamlaka mara tuuu baada ya Boys2Men kumwangusha mmakua pale Chimwaga....
Habari ni ndefu ila tunamezea tu.
pole sanaWengine tulikuwa wadogo mkuu, Mkapa anaingia madarakani niko shule ya msingi, hebu fafanua kidogo.
1972 alikua naniHakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !
Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
wakikumbuka jumuia tano za CCM basi watakuelewa.Mkuu kuna watu ni untouchable ukiwagusa basi utaumia au utaumizwa na wenyenchi ujawahi kusikia huko kwamba askofu anatawala nchi watu wakalalamika ili kubalance wazee wa system wakaja na BAKWATA hivi ushajiuliza kwa nini Sheikh Ponda halitaki wala haelewani na BAKWATA ? Hicho chombo kiliundwa na ccm kuwaada waislamu huko.
1999 tulimpoteza Mzee Mchonga, aliondoka kwenda London akiwa salama salmini alirudi akiwa kwenye coffin boxHakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !
Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Sijui ni wapi nilisikia kuna nchi ilikuwa inauza silaha kiharamu kwa waasi ilipogundulika ikabidi atolewe kafara kiongozi fulani
Mimi naongelea nchi ya Wayuzani iliyokuwepo 200BC
Viongozi hufungua maonesho ayo kuanzia tarehe 3 au 4 JulyHivi maonyesho ya sabasaba ni tare 7 april?