Hayo majina (Ufala, Usenge etc) yanatamkwa kama yanavyoandikwa? Kuna kambi moja ya wakimbizi kule Turkana inaitwa "Kakuma" lakini kwa namna wanavyoitamka haileti utusi kivile!
Hayo majina (Ufala, Usenge etc) yanatamkwa kama yanavyoandikwa? Kuna kambi moja ya wakimbizi kule Turkana inaitwa "Kakuma" lakini kwa namna wanavyoitamka haileti utusi kivile!
1. Shika Adabu Primary School
2. Jamvi la Wageni Primary School
3. Senge sekondari
4. Usenge sekondari
5. Ufala primari na kituo cha elimu ya watu wazima
Je historia za shule hizi zimeshatoa viongozi? au ndio akina fulani ndio wamesoma huko ndio maana nchi haieleweki?