Utata: Uvamizi wa clouds FM

Hili liloandika huu uzi litakuwa nyumbu za kijani alimaalufu mbogamboga
 
Mbona unajikakamua Sana....Si unye tu yaishe
 
Au la Ruge alikuwa ameshamchoka jamaa na akatumia hiyo ishu kuifanya liwalo na liwe.

Pia Ruge hakuwa tayari kuwasha moto kwa Gwajima na dada yake Mange, maana kusema ukweli kingewaka balaa....so aliweka kwenye mizani akaona ni bora apoteze kwa RC kuliko kule kwingine...ila kusema kubalance stori huyo Sudi brown nadhani ndio anaongoza kwa kutobalance stori...mara kibao anazuga anapiga simu inaitaaaa...alafu ataishia kusema 'umelala' na ndio imetoka.

Ila siungi mkono alichofanya RC, kulazimisha stori itoke ili kumuharibia Mtu ni matumizi mabaya ya madaraka..na alienda mbali kutumia nguvu ya kijeshi...anastahili adhabu kali.
 
Mbona unajikakamua Sana....Si unye tu yaishe

Nikishaona tu mtu anayetukana saana kuliko kujenga hoja namjua huyo ni zero brain, hana uwezo wa kupinga hoja anaishia kuporomosha tu matusi, ndicho pekee kilichojaa kichwan! aseme nn ss🙂
 
Nimekwisha kuelewa unarudisha watu nyuma na hoja ambazo tulikwisha funga huu mjadala wa mkuu wa mkoa

Wenye akili wakashauri aombe msamaha ila hakuomba

Wakategemea rais atamuwajibisha pia haikua hivyo

Nikuweke sawa tena kwa lile la kwenda clouds na style aliyoitumia makonda siku ile alikosea

Usianze kunihadithia hadithi ambazo nina zifahamu sijui kwenda mbona huwa anaenda... najua yote hayo ila unalazimisha kuwa huwa anaenda na walinzi plus silaha, usiku na kuforce urushwaji wa vipindi... jibu ni hapana.... so siku ile alienda kimabavu na bila taarifa wala miadi tena usiku na kuacha sintofahamu kwa walinzi nje na staff wa ndani etc

Ova
 


Tatizo maGT wameisha humu, hawawez kukuelewa na utaishia kutukanwa tu
 
Hata ukionexhwa iyo full vdeo we n nan ambaye unaweza mpangia Mh JP kaz ya kumuwajbisha RC apo umechemsha ndugu tushakubali kuwa watumwa
 
Labda nikuulize mtoa mada ile ripoti aliyokabidhiwa nape umeiona na kuisoma yote ? Kama hujui kiliandikwa nn mule ndani basi ni vyema ukatulia.

Unaongelea ripoti ile ya iliyoandikwa siku kabla ya Nape kwenda pale na kundi lake au ipi!?
 
Una matatizo ya akili. Ulitaka waonyeshe ushahidi mwingine upi ?
 
Hivi bashite mwenyewe alishawahi kukanusha tukio hilo?kama mwenyewe kakaa kimya wakati anajua kasingiziwa wewe nani ukanushe?
Achane kukuza mambo mtatolewa video Nzima mshindwe la kasema .
Ruge kaamua kumstahi angalau kidogo wewe unakuja kuchongoa mdomo hapa
 
Kama hujui kujenga hoja kaa kimya.
umetuletea upupu toka kwa Bashite tumeurudisha wote kwako na kwake.

 
Vyeti ni issue inayojitegemea ambayo Ikulu imekinga kifua na Mgongo.
weka vyeti mezani ili mzizi wa fitna ukatwe.

Mkaanga Ubuyu wa vyeti ni Mtukufu Rais mwenyewe kwa hiyo ni lazima autafune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…