Utata usaili wa mahojiano PPRA

Utata usaili wa mahojiano PPRA

anna bubelwa

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
40
Reaction score
10
Habari zenu, mi nina swali limenichanga katika upande wa PPRA post ya Procurement Officer ii. Wakati wanashortlist majina ya written walisema watakaofaulu written interview tarehe 6 yani kesho, wataendelea na oral. But chakushangaza juzi walishortlist majina ya oral wanasema tutajulishwa tarehe ya mahojiano so which is which nisaidieni, kwa hiyo kesho ni interview au mpk tutakapojulishwa na eneo la interview ni wap?

Asanteni
 
wasubiri watakujibu. Ukiona kimya mpaka jioni jihimu kesho asubuhi kaulizie ofisi za wahusika. Usilale utauwa bure!
 
Pole ndugu; ata sisi bima ya afya wamefanya mambo kama hayo; badala ya kutoa majibu kwa wote waliofanya usahili wa kuandika ili kujua kila mmoja amepata max ngapi, wametoa majina ya walioitwa kwenye practical kwenye upande wa Driving.

Sasa kinachoshangaza ni hivyohivyo; inakuwaje tujue waliofaulu badala ya kujua pass marks za kila mmoja aliyefanya hiyo usahili.

KWA HILI BIMA YA AFYA WAMEFANYA HUJUMA KWA ASILIMIA 300 ndugu zangu tutafute suluhu kwa hili.

Asante lakini ajira za tanzania hazitolewi kwa haki hata kidogo.
 
kimboko mi naulizia habar za usahil wa ppra ni lin cz kuna utata au na ww unazungumzia utata wa bima kuchagua majina ya watu waliofaulu tu?
 
Heee PPRA kumbe walishashort list ? kuna post niliomba na nilikua sijui kama wameshaanza kuita.
 
Ann fata maelekezo wamewaambia siku ya usaili mtapewa taarifa unatakiwa kusubiri mbona maelezo mmpewa vizuri just wait mpaka mtakapopewa taarifa

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili kwa kada zote za PPRA, Tarehe yao ya usaili itapangwa na wasailiwa watajulishwa,Wasailiwa wanashauriwa kuendelea kutembea tovuti hii kwa taarifa zaidi.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza".

Sasa usichoelewa hapo ni nini???? Annbuberwa
 
asante musubati nimeelewa nw.ubarikiwe
 
Habari zenu, mi nina swali limenichanga katika upande wa PPRA post ya Procurement Officer ii. Wakati wanashortlist majina ya written walisema watakaofaulu written interview tarehe 6 yani kesho, wataendelea na oral. But chakushangaza juzi walishortlist majina ya oral wanasema tutajulishwa tarehe ya mahojiano so which is which nisaidieni, kwa hiyo kesho ni interview au mpk tutakapojulishwa na eneo la interview ni wap?

Asanteni

Hongera naona umepita kwnye chujio! Anna Bubelwa wa SJUT ama?
 
i
Habari zenu, mi nina swali limenichanga katika upande wa PPRA post ya Procurement Officer ii. Wakati wanashortlist majina ya written walisema watakaofaulu written interview tarehe 6 yani kesho, wataendelea na oral. But chakushangaza juzi walishortlist majina ya oral wanasema tutajulishwa tarehe ya mahojiano so which is which nisaidieni, kwa hiyo kesho ni interview au mpk tutakapojulishwa na eneo la interview ni wap?

Asanteni
Mbona sekretarieti wametolea taarifa tayari ebu ingia www.ajira.go.tz muwe browse hiyo website yao jamani
 
we mapovu mbn cjayaona hayo majina wala taarfa za kufanya ora ppra ktk web ya tume ya ajira we umeonea sehem ip nijuze
 
Embu take deep breath alafu angalia tena mbona mimi naliona hilo tangazo lipo pamoja na maelezo yahusuyo wasailiwa wa udereva na kilimo na uvuvi.....uwe unakunywa maji ukiwa unaangalia itakusaidia
 
nililiona tangazo mapovu thnx
 
Back
Top Bottom