steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,182
- 1,596
Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza Corona ni kirusi au bacteria?
Niliposikia kuwa ni kirusi nikashangaa kirusi kinasambaaje kwa njia ya hewa? Na Kama ni kweli inamaana dunia nzima tungeangamia?
Pia ukipata Corona hupewi dawa ila baada ya muda unakuwa sawa endapo ukakaa sehemu yenye joto hapo nikapata mkanganyiko kuwa huenda Corona ni bacteria.
Na ukipiga hesabu watu walioambukizwa corona wote duniani 0.02% ndiyo wamefariki na waliofariki wengi ni wazee na wenye magonjwa na afya dhahifu waliobaki hawajafa.
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine.
Nilichogundua Corona ni aina fulani ya mafua inayoshambulia kwa Kasi maeneo yenye baridi ndiyo maana idadi ya waliokufa Africa ni ndogo
Pia Kuna watu walikuza story kuhusu corona ili kuleta taharuki pengine wanafaidika na taharuki hiyo
Kiukweli Bado nachunguza Kama Corona ni kirusi na kama kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa? Na je kirusi huwa hakifi huishi kutokana na mazingira iweje kunawa maji kuwa suluhisho la Corona?
Na je kwanini tunaambiwa tusivae mask kama siyo wagonjwa wakati ni vigumu kumtambua mgonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app