Kwa kipindi kirefu nilikuwa najiuliza corona ni kirusi au bacteria?
Niliposkia kuw ni kirusi nikashangaa kirusi kinasambaaje kwa njia ya hewa? Na Kama ni kweli inamaana dunia nzima tungeangamia?
Pia ukipata corona hupewi dawa ila baada ya muda unakuwa sawa endapo ukakaa sehemu yenye joto hapo nikapata mkanganyiko kuwa huenda corona ni bacteria
Na ukipiga hesabu watu walioambukizwa corona wote duniani 0.02% ndiyo wamefariki na waliofariki wengi ni wazee na wenye magonjwa na afya dhahifu waliobaki hawajafa
Pia ukichukua takwimu mpaka Sasa waafrica waliofariki hawafiki 200 tofauti na mabara mengine
Nlichogundua corona ni haina furani ya mafua inayo shambulia kwa Kasi maeneo yenye baridi ndiyo maana idadi ya waliokufa Africa ni ndogo
Pia Kuna watu walikuza story kuhusu corona ili kuleta taharuki pengine wanafaidika na taharuki hiyo
Kiukwel Bado nachunguza Kama corona ni kirusi na kma kirusi kinaeneaje kwa njia ya hewa? Na je kirusi huwa hakifi huishi kutokan na mazingira iweje kunawa maji kuwa suruhisho la corona? Na je kwa Nini tunaambiwa tusivae maski kma siyo wagonjwa wakati nivigumu kumtambua mgonjwa.?
Sent using
Jamii Forums mobile app