Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,011
- 14,349
Akirudi ndio ufufuo unatokea au uliambiwaje hasa ?
Na upi uhusiano uliopo kati ya Yesu na ufufuo ?
Haya maswali ndo yanasababisha uongo mwiiingi pale binadamu anapoanza kutafuta kabla ya kuzaliwa alikua wapi na akifa ataenda wapisijai pata ng'ombe wala wanyama na madudu wakijadiliana masuala hayo isipokua sisi binadamu, natunapumua vile. si tutulie tuishi maisha yetu bila wasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia iliumbwa Kwa Siku elfu saba?? Nauliza tu.kwa mungu siku elfu moja ni sawa na siku moja unabii unasema ivo kwaiyo izo siku elfu zilizo pita kwake anaona kama siku mbili tatu ivi kwaiyo ufufuo upo na uzima wa milele upo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata mkionana na ndugu zako siku hiyo hawatotufaaHiv ni kweli siku ya ufufuo ipo au ni tricky tu ya kutufariji pindi tunapofiwa na ndugu na jamaa ili tuamini ipo siku tutaonana nao paradiso na kama kweli ipo? Maana watu wamefariki miaka zaidi ya Ma elfu iliyopita ila hatujawahi kusikia habari za ufufuo wao au inakuaje? Maana kila siku watu wanazidi kuzaliana na kufa.
Kama mungu ameweza kukuumba kutokana na ugali(carbohydrate) maharage(protein) ndo zkatengeza mbegu za kiume na kike zkaungana ukawa mwanadamu kamili ukawa na kaili ya kujiunga jamiiforumYaan mtu afe halafu afufuke tena amebaki mifupa mitupu, halafu nyama na sura zirudi tena
Wewe ulishawahi kuona nani amekufa na akafufuka tokea hizo stori zimenza mpk leo hatujaona chochote watu wanakufa na kuzaliwa hakuna anayefufuka tokea miaka hiyo ambao muhamad au yesu alisema
Lipo Tumaini kwa hao waaminio.Hiv ni kweli siku ya ufufuo ipo au ni tricky tu ya kutufariji pindi tunapofiwa na ndugu na jamaa ili tuamini ipo siku tutaonana nao paradiso na kama kweli ipo? Maana watu wamefariki miaka zaidi ya Ma elfu iliyopita ila hatujawahi kusikia habari za ufufuo wao au inakuaje? Maana kila siku watu wanazidi kuzaliana na kufa.
Si bure dadangu warumi, atakuwa kampokea bwana Yesu kawa bwana na mkombozi wa maisha yake. Ila kuna mambo bado yanamchanganya.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda huhesabiwa kwa wenye uhai tu.Hiv ni kweli siku ya ufufuo ipo au ni tricky tu ya kutufariji pindi tunapofiwa na ndugu na jamaa ili tuamini ipo siku tutaonana nao paradiso na kama kweli ipo? Maana watu wamefariki miaka zaidi ya Ma elfu iliyopita ila hatujawahi kusikia habari za ufufuo wao au inakuaje? Maana kila siku watu wanazidi kuzaliana na kufa.