Utata mwanamke kujinyonga polisi

Your comment looks like sitire and sarcasm. Look back at your DP
What he wrote is neither satirical nor is it sarcastic but the plain truth which is definitely not palatable to those who don't value other people's lives.
 
Hoja fikirishi,lkn nijuavyo mimi jinsi nchi hii ilivyo na watu hopless,tutajibiwa majibu mepesi Sana.
 
Hii sinema mbona wameicheza vibaya...!![emoji3525][emoji3525]
Na mambo kama haya ndio yanaongeza chuki kati ya jeshi la polisi na raia...[emoji53][emoji53]
Hiyo chuki hutoka kwa watu wenye uelewa mfinyu km wewe.
 
Ikiwa ndiye mahabusu pekee aliku kituoni wakati husika ulitaka akae na nani ndani chumba cha mahabusu?
 
Hii nchi tutarudi kwenye mambo ya kurogana.

Kule Njombe kuna kitu wanaita " TEGO".......ni balaa hiyo kitu bwashee!
Iyo ma father wa kanisa waliingikia kati maana raia walikuwa wana kufa pasipo nq hatia

Nasikia walikiwa wana tega mkungu wa ndizi unao karibia kuiva....ndizi ikiiva ikadondoka bac hukonmtu anaondoka balaaa sana iyo
 
Dah. Nilisoma nae Shule moja. It’s so sad kusikia Hii report. Hii life basi tu.
 
CCM ni janga la Taifa, imebinya fursa zote hadi Wananchi wanyonge wanaishia kujinyonga tu.
 
Wanavyo dai eti mahabusu wengine walipata mzamana masaa machache baada ya marehemu kuwekwa ndani
@luangalila una Kiswahili kibovu sana ndugu yangu. Ina maana miaka yote unakaa Maruku na Kyampisi hutoki kwenda hata Singida au Dodoma ili ujue unatakiwa kuwa competent kwenye hii lugha. Kila comment yako huwa na makosa
 
@luangalila una Kiswahili kibovu sana ndugu yangu. Ina maana miaka yote unakaa Maruku na Kyampisi hutoki kwenda hata Singida au Dodoma ili ujue unatakiwa kuwa competent kwenye hii lugha. Kila comment yako huwa na makosa
Mm ni mkenya so vumilia tu swahili yangu
 
Au aliyemshataki alitoa hongo,polis wammalizie KBS nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…