Utata Mpya Waibuka Epa!!!!!!!!!!!-dar Leo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,331
21,124
----pinda Chenga Za Mwili

---mkulo Kimya

---ikulu Gizani

Kweli Pinda Kiboko !!!utata Uligubikwa Nani Mwenye Uhahalali Wa Pesa Za Epa Uliingia Hatua Nyingine Baada Ya Mkuu Pinda Kushindwa Kabis Kutoa Maelezo Ni Za Nani Serikali Wanasema Zetu Mkulo Za Wafanyabiashara Zinarudi Serikalini Kufanya Nini.....
Nilishasema Hawa Wote Viongozi Waliomadarakani Ni Wasnanii Watupu Ndio Maana Pinda Kakimbia Hoja Kama Hii..na Tulivyo Na Wabunge Mambumbu Hakuna Alieomba Mwongozo Wa Spika....
Soma Dar Leo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom