Utata kwenye kodi za magari

Utata kwenye kodi za magari

Kiresua

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2009
Posts
1,183
Reaction score
261
Wanjanvi!
Heshima kwenu.
Kuna jamaa Yangu aliagiza Gari ya mizigo Nissan Datsun. Assessment ya kwanza ya kodi ilikuwa 6.9mil. Final asasesment kodi ikawa 7.2mil. Sasa cha ajabu kuwa tulikuwa instructed na TRA kudiposit hiyo ongezeko LA 300k kwenye account tofauti na tuliyolipa ile figure ya first assesment yaani 6.9mil. Nilichojiuliza ni kuwa kwa nini amount zote zisiwe na control no. Moja kwa kuwa alilipwa client mmoja. Na kama walifanya final asesment wakaona kuwa kodi ya awali ilikuwa no ndogo, kwa mini kiasi hicho kilichoongezwa kililipwa kwenye account tofautii!?

Jambo hili sikuelewa mantiki take nikahisi kuna kit kulichojificha nyuma yake.

Au wanasema tu piga hao kodi Fulani tupate hela ya kufanya kitu x&y kwa hiyo tunibiwa bila kujua wala kuhoji

Najua kuwa kuna mtaalam Wa hay a mambo anaweza kutusaidia ufafanuzi.

Asanteni
 
mhh karibuni wakuu wataaalm
 
Kwa kawaida kuna account mbalimbali za commissioner ili kufacilitate ulipaji. Sio kila mtu anaweza kuaccess account flan. Cha msingi Ni malipo yote huwa yanakuwa reflected kwenye system..zamani ilikua watches na sasa kuna system mpya inaitwa tancis.kwa hiyo hujaibiwa.
 
Back
Top Bottom