Utata Kuhusu Kesi ya Kubenea, TLS

Utata Kuhusu Kesi ya Kubenea, TLS

Hivi unajua AG ni nani na yuko responsible kwa mambo gani ambayo serikali kupitia taasisi yoyote itafanya au unakurupuka
 
Hivi unajua AG ni nani na yuko responsible kwa mambo gani ambayo serikali kupitia taasisi yoyote itafanya au unakurupuka
Mkuu kama kuna jambo unalifahamu tuelimishe kuliko kuruka huku na huku bila sababu yoyote!
 
Wewe unayezijua mkuu tufahamishe!

Ngoja nikupe scenario: Wewe si mwanasheria, mimi si mwanasheria, wewe umetoa "hoja" ya kum-critisize mwanasheria, mimi nimetoa angalizo kum-support mwanasheria. Watu waniitaje na wakuitaje?
 
Ngoja nikupe scenario: Wewe si mwanasheria, mimi si mwanasheria, wewe umetoa "hoja" ya kum-critisize mwanasheria, mimi nimetoa angalizo kum-support mwanasheria. Watu waniitaje na wakuitaje?
Naona bado tunajadili namna ya kujadili kuliko kujadili!
 
Buchanan utakufa vibaya na utakapo kufa viba nabutazikwa vibaya, Ubongo yako haina kitu. Unatuzingua tu
 
Wengi wanalilalamikia Bunge Maalum la Katiba kuwa limeacha kujadili Rasimu ya Warioba na linajadili "Rasimu ya CCM!"
Well, tulitegemea basi kesi dhidi ya Bunge Maalum la Katiba ifunguliwe Mahakama Kuu lakini badala yake inashtakiwa Serikali, kupitia Attorney General, ambayo kimsingi haihusiki!
Ni vizuri AG akaachwa na Badala yake awekwe Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, otherwise hizi kesi 2 zitashindwa vibaya!

div 5 hiyo
 
Ni kweli kabisa lakini naona wapambe wameamua kujibu hoja kwa niaba yako!

Tafadhali mkanye Mcubic!

Wewe umejinukuu ukidhani umemnukuu mtoa mada.....unataarifiwa badala ya kuduwaa wewe unashupaa...haya endelea kushupaa.Huna haja ya kunikanya.
 
Hoja ya katiba mpya ni hoja ya serikali, sio ya mwenyekiti wa bunge, ndio maana siku zikiisha haongezi sita, inaongeza serikali kupitia kwa JK kwa hiyo unaposhtaki unamshtaki mtoa hoja, anayewakilishwa na AG, sio msimamizi wa hoja.
 
Hoja ya Serikali iliishia pale Rasimu ilipopelekwa Bungeni, sasa hivi ni zamu ya Bunge na Serikali haina mkono wake hapo, ndio maana sasa hivi anayelalamikiwa ni Sitta na Bunge Maalum la Katiba, sio Serikali!
 
Wana hela hao akina Sitta? Serikali ikikata hela leo kuna atakae baki pale. Mwenye hela ndo mlalamikiwa ambae ni Serikali. Hao BMK ni kuiweka tu uhalali wa Kisheria. Ila ni Serikali ndo mdau mkuu au Client on behalf of Wananchi.
 
Mkuu, kesi iliyofunguliwa haihusu matumizi ya fedha, bali ni mamlaka ya Bunge Maalum la Katiba, kwamba si kuifumua Rasimu ya Warioba na kuweka misingi mipya (ya Serikali 2) kabisa kinyume na Kifungu cha 25 (1) na (2) cha Sheria ya Mapitio ya Katiba, 2011! Sasa hapa Serikali ina makosa gani?
Watu wengine, kwa sababu ya mapenzi yenu ya utanganyika basi mnaamua kupotosha mambo makusudi!
 
Aibu haitakuwa ya UKAWA tu bali ya wananchi ambao maoni yao yamefanywa toilet paper na kuchambiwa bungeni.
 
Aibu haitakuwa ya UKAWA tu bali ya wananchi ambao maoni yao yamefanywa toilet paper na kuchambiwa bungeni.
Ni kweli, wananchi walio wengi waliona hakuna haja ya kuongelea muundo wa Serikali maana Serikali 2 zinatosha!
 
Back
Top Bottom