Utata Kuhusu Kesi ya Kubenea, TLS

Utata Kuhusu Kesi ya Kubenea, TLS

Buchanan

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2009
Posts
13,192
Reaction score
1,976
Wengi wanalilalamikia Bunge Maalum la Katiba kuwa limeacha kujadili Rasimu ya Warioba na linajadili "Rasimu ya CCM!"
Well, tulitegemea basi kesi dhidi ya Bunge Maalum la Katiba ifunguliwe Mahakama Kuu lakini badala yake inashtakiwa Serikali, kupitia Attorney General, ambayo kimsingi haihusiki.

Ni vizuri AG akaachwa na Badala yake awekwe Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, otherwise hizi kesi 2 zitashindwa vibaya.
 
Wengi wanalilalamikia Bunge Maalum la Katiba kuwa limeacha kujadili Rasimu ya Warioba na linajadili "Rasimu ya CCM!"
Well, tulitegemea basi kesi dhidi ya Bunge Maalum la Katiba ifunguliwe Mahakama Kuu lakini badala yake inashtakiwa Serikali, kupitia Attorney General, ambayo kimsingi haihusiki!
Ni vizuri AG akaachwa na Badala yake awekwe Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, otherwise hizi kesi 2 zitashindwa vibaya!

Wanafanya kelele tu
 
Unazijua procedure za kusikiliza kesi ?

Kama unazijua basi hiyo steji ilishapita.
 
Ni vizuri AG akaachwa na Badala yake awekwe Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, otherwise hizi kesi 2 zitashindwa vibaya!

Kuna uhalali kisheria kwa mwenyekiti wa BMT kupelekwa kwa pilato kwa shauri kama hili?
 
Kosa afanye A kisha B apelekwe mahakamani? Only possible with UKAWA!
 
Hoja zako zinafanana na wale waliosoma shule zilizoanzishwa katika kata kwa dharula na kufundishwa na waalimu wa voda fasta!
Wewe unayejinukuu ukidhani unaninukuu mimi umesoma Shule ipi ya Kata mkuu?
 
Back
Top Bottom