Utata kuhusu Hurbert Kairuki University

Utata kuhusu Hurbert Kairuki University

odbg

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
318
Reaction score
154
Juzi tu serikali ilitoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhisiwa kupokea wanafunzi na Chuo cha hurbert Kairuki kilikuwepo,lakni nashangaa majina ya waliochaguliwa Kairuki yametoka,yaani hii sirikali ni inabadilika badilika Kama kinyonga.
 
Kairuki haikuwepo kaangalie tena
 
Hizi post wanafunzi wa vyuo zimekuwa nyingi sn bora zingewekwa sehem moja.
 
mleta mada acha kupotosha .....hizi post zenu za chuo tumezichoka
 
Chanzo cha habari zako ndiyo kina utata.
 
Back
Top Bottom