Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

Binafsi Muumini wa Imani ya Mungu akisema “Kwa Mungu kila kitu kinawezekana” basi huwa naishia hapo kwa KUHESHIMU imani yake

Shida inakuja pale mwana Imani anapotetea imani yake kwa kutumia Akili(Logic).
Logically Hadithi ya Noah HAIWEZEKANI
Mkuu
Logically tunapaswa kujadili na kuhoji na kuchunguza sana Neno la Mungu. Akili za jumla jumla huwa zinawakamata watu wachache ama wengi wasioelewa.

If you believe there was Noah and his Ark, where did you learn this? Pia nani ameandika hadithi ya Nuhu na Safina yake? Habari hii iliandikwa lini? Nani ameandika habari ya UUMBAJI?

Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa kuna mengi ya kale na hata sasa yanadhihirisha uwepo na ukuu wa Mungu. Usinichukulie kama wale ambao wakishasema Mungu na story inaishia hapo... Ninasoma haswa kutafuta relevance ya Imani yangu Kwake na kikubwa nayahesabu yote kwa umakini sana
 
Ninacho amini ni kwamba, kunauwezekano tukio hilo lilitokea sehemu fulani ila sio tukio la dunia nzima, kwa sababu moja kubwa, kipindi hicho sidhani kama binadamu walisha kua wame link hizi continents, hivyo pale watu walipo ndipo hapohapo walihisi dunia ndio imeishia na wa upande wa pili vyivyo hivyo

Mf wa mareekani hawakujua kama kuna africa an vice_versa
Sasa mwambie Mungu wako wakati anaandika vitabu asikosee na kuandika dunia nzima
 
Ndugu mimi sipo katika maswala ya dini na wala siwaongelei hao matapeli wa makanisani, hio kitu ni kama elimu za upande wa pili wanaozitumia na majini yao,,,,mrumi hadi kukubali ukristo kwake ni kwamba aliweza kuzipangilia vizuri code za humo na imani zake za kipagani, biblia ina elimu za nyota ni tofauti na yanayoendelea humu makanisani hizo ni zuga tu........sikukuu za Christmas na hata hii pasaka kwa mtu wa dini atazihusisha na ukristo ila ni sikukuu zinazodondokea kwenye msimu fulani wa kinyota na hata wapagani zamani ndo zilikua tarehe zao za mambo yao
Mkuu Mungu hajaandika kitabu chochote wala hausiki na Bibilia usifiche udhaifu wa Bibilia na kuuita ni CODE

Ndio maana watu wana hoji inakuaje Mungu anatuletea maandiko kama hadithi ya Noah ambayo logically haiingii akilini?
 
Mkuu
Logically tunapaswa kujadili na kuhoji na kuchunguza sana Neno la Mungu. Akili za jumla jumla huwa zinawakamata watu wachache ama wengi wasioelewa.

If you believe there was Noah and his Ark, where did you learn this? Pia nani ameandika hadithi ya Nuhu na Safina yake? Habari hii iliandikwa lini? Nani ameandika habari ya UUMBAJI?

Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa kuna mengi ya kale na hata sasa yanadhihirisha uwepo na ukuu wa Mungu. Usinichukulie kama wale ambao wakishasema Mungu na story inaishia hapo... Ninasoma haswa kutafuta relevance ya Imani yangu Kwake na kikubwa nayahesabu yote kwa umakini sana
Kama bado unaamini Mungu yupo basi hutumii logic kukubali uwepo wake.... unatumia IMANI

Kama una amini BIBILIA ni maneno MATAKATIFU ya Mungu utakua hutumii Logic utakua unatumia imani

Na ndio maana kujua Noah aliwaswagaje wanyama wale kuingia ndani ya safina hukutumia logic bali umetumia IMANI(Mungu anaweza kila kitu)

Najua itakua ngumu kukubali lakini huo ndio ukweli
 
Story ya Nuhu haikutokea Duniani ilitokea kwenye sayari ya Mars wakati huo binadamu walikuwa wana ishi katika sayari ya Mars. Sasa basi ilitokea vita baina ya mataifa makubwa yaliyo kuwa katika sayari ya Mars, kiongozi wa taifa moja baada ya kuona kwamba ameshindwa vita akapanga njama za kupiga bomu ambalo linge kuja kulipua na kuitetekeza sayari yote ya Mars na vitu vyote vilivyomo ndani yake..

Miaka/miezi kadhaa kabla jambo hili halijafanyija, Mwenyezi Mungu akamuonyesha Nuhu katika ndoto kuhusu maafa ambayo yangekuja kuikumba sayari ya Mars.

Katika ndoto hiyo Mungu akamwambia Nuhu kwamba hakuna suluhisho zaidi ya kuondoka kwenye sayari ya Mars na kuelekea katika sayari jirani ya dunia.

Nuru alipaswa kusimamia project ya kutengeneza spaceship ( ambayo kwenye maandiko yenu imeitwa meli ya safina).

Spaceship hiyo ingetumika kuwasafirisha wanadamu pamoja na species wote wa wanyama kutoka sayari ya Mars na kuja Kuwa plant hapa duniani.

Hakukuwa na haja ya kubeba mimea kwa sababu mimea wangeikuta hapa hapa duniani.

So hao wanyama wawili wawili zilikuwa ni mbegu za kuja kuwapanda specie hao hapa duniani.

Nuhu aliagizwa pia awaambie watu wote kuhusu hatari itakayo kuja kutokea sayarini Mars hapo baadae na kwamba ponapona yao ni kujisalimisha ndani ya safina lakini watu karibu wote walimpuuzia Nuhu kwa sababu waliona kama vile anawaletea miyeyusho. Kumbuka wakati Nuhu anafanya yote hayo hiyo vita ilikuwa wala haijaanza. Vita ilikuja kuanza bbada ya Nuhu kukamilisha ujenzi wa safina na kupakia wanyama wote ndani ya safina. And soon thereafter bomu likalipuliwa na kuharibu mfumo wote wa sayari ya Mars likatokea giza kubwa na mafuriko sayari nzima.

Watu waliokuwa ndani ya safina hawakuwa affected kwa sababu safina( spaceship) ilitengenezwa kwa materials ambazo zilikuwa stronger than the deluge plus muda mfupi badae safina/ spaceship hiyo ili cross anga la Mars na siku arobaini baadae ikatua juu ya gimba la sayari ya dunia.
Duuh
 
Kama bado unaamini Mungu yupo basi hutumii logic kukubali uwepo wake.... unatumia IMANI

Kama una amini BIBILIA ni maneno MATAKATIFU ya Mungu utakua hutumii Logic utakua unatumia imani

Na ndio maana kujua Noah aliwaswagaje wanyama wale kuingia ndani ya safina hukutumia logic bali umetumia IMANI(Mungu anaweza kila kitu)

Najua itakua ngumu kukubali lakini huo ndio ukweli
Shida ipo sehemu moja
Mimi sikulazimishi uwaze kama niwazavyo
wewe unanilazimisha niwaze uwazavyo.......

Ondoka kwenye hiyo stigma kwanza kisha tutaelewana
 
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.

Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.

2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.

Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?

3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?

Nawasilisha 🙏
Kwanza ungejiuliza, wakati wa Nuhu, juiografia ya Dunia na watu wake ilikuaje??
 
Shida ipo sehemu moja
Mimi sikulazimishi uwaze kama niwazavyo
wewe unanilazimisha niwaze uwazavyo.......

Ondoka kwenye hiyo stigma kwanza kisha tutaelewana
Shida ipo sehemu moja
Mimi sikulazimishi uwaze kama niwazavyo
wewe unanilazimisha niwaze uwazavyo.......

Ondoka kwenye hiyo stigma kwanza kisha tutaelewana
🙏🙏🙏
 
Hamna Cha code Wala Kodi acha janja janja story imekopiwa na kupaste karibu kila jamii Ina story ya gharika Hadi wamasai...mambo ya visingizio cjui mafumbo hatutaki sisi sio watoto hio story imetungwa na watu wasioelewa mfumo wa fizikia biolojia na jiographia...so ni story tu haina ukweli Wala haiwezekani kuwa kweli... mwenye ubishi aje nimpe maswali yangu hayo matatu ni machache kati ya mia
Wakibanwa wanakimbilia kwny code😂
 
Aisee😂😂
Mkuu Ngoja na mimi nikuongeze ufikirishi ili uzidi kufikiria zaidi..

Mwa 6:15 SUV

Hivi ndivyo utakavyoifanya; mikono mia tatu urefu wa safina, mikono hamsini upana wake, na mikono thelathini kwenda juu kwake.

Kwa lugha yetu..

(Genesis 6:14–16):
The ark is to be 300 cubits long, 50 cubits wide, and 30 cubits high (approximately 134×22×13 m or 440×72×43 ft).

Urefu wa Twiga na Simba na wingi wa wanyama waliokuwepo unasuggest hiyo hadithi ni ya Uongo
 
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.

Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.

2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.

Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?

3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?

Nawasilisha 🙏
Si kila kitu lazima ukiamini.
 
Ushawahi tembea toka Mbagala mpaka Bunju...?
4.Je ,umbali waliotembea hao viumbe wanaopatikana kusini mwa Afrika ,mpaka kufika pale Middle east, Nuhu si alisubiri miaka?

5.Je,kwa wanyama wanaokula nyama ilikuwaje ndani ya hiyo chombo...

6.Je,wanyama wenye kuishi mda mchache kama nzi, Siku 7 ?
 
Mkuu
Logically tunapaswa kujadili na kuhoji na kuchunguza sana Neno la Mungu. Akili za jumla jumla huwa zinawakamata watu wachache ama wengi wasioelewa.

If you believe there was Noah and his Ark, where did you learn this? Pia nani ameandika hadithi ya Nuhu na Safina yake? Habari hii iliandikwa lini? Nani ameandika habari ya UUMBAJI?

Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa kuna mengi ya kale na hata sasa yanadhihirisha uwepo na ukuu wa Mungu. Usinichukulie kama wale ambao wakishasema Mungu na story inaishia hapo... Ninasoma haswa kutafuta relevance ya Imani yangu Kwake na kikubwa nayahesabu yote kwa umakini sana
Hadithi ya Noah iliandikwa Zamani sana Kabla hata Ya biblia kuandikwa au Hata Musa mwandishi wa Mwanzo kuzaliwa ilikuwa kama Hadithi za Summerian
 
Ushawahi tembea toka Mbagala mpaka Bunju...?
4.Je ,umbali waliotembea hao viumbe wanaopatikana kusini mwa Afrika ,mpaka kufika pale Middle east, Nuhu si alisubiri miaka?

5.Je,kwa wanyama wanaokula nyama ilikuwaje ndani ya hiyo chombo...

6.Je,wanyama wenye kuishi mda mchache kama nzi, Siku 7 ?
Nzi wa nuhu waliishi siku 41😂
 
Back
Top Bottom