hahaa kwahiyo wanamchora tu ""!?Usiwe na hofu. Huyo babako marehemu na ukoo wake wanajua kila kitu. Hawatashtuka sana siri ikivuja
Hayupo vizur kivile anajitosheleza kimtindo tuhuyu baba namba 2 yuko vizuri ki finance ..tuanzie hapo kwanza "??
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]me nakushauri uwaue wote wanaofahamu hiyo siri then ubaki pekee yako unayeifahamu siri hiyo.
Aisee upo njia panda " sana .. anapoongea na wewe huwa anakwambia mipango yake dhidi yako ni ipi ""?.. yaani anampango wowote wakukutambulisha kwenye familiar/ukoo wao "?? ..wewe binafsi unamchukuliaje " ?Hayupo vizur kivile anajitosheleza kimtindo tu