Utata juu ya mwanaJF Ontario

nyie vishabiki vya Ontario mna kazi kweli[emoji2]
 
Nakumbuka sana mambo ile siku nilikuwa nalinda ile floor si unajua tena kazi ya Ukolokoloni mara paah Manjagu wakaingia wakahoji hoji watu pale Nyie mkawa wakali kinoma lakini manjagu wakawabebau Wale wasauz na Anto mpaka tusipopajua mara Anto na wasauz wakarudi wakaendelea kuchangisha mkwanja elfu 60 .Wakapiga mpunga na wengine wakashawishiwa watrade. Haaaaaaaaa Mimi nikiwa karibu na mlango wa Choo nikawaambia wanakuja chooni Kuwa Mnaibiwa pesa haidownlodiwa wakaanza kunicheka wewe mbumbumbu hujui kitu. Leo eti wanalia wamepigwa mkwaja mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii jf mkuu ...hakuna ktu nafahamu juu yako na ww unafahamu juu yangu ...dont b quick to judge ..

anyway seems your a die hard fan
keep up with the good work n have a nice day


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

WATCH THESE 3 guys i hope utajifunza vitu vizuri na vikubwa kwenye maisha yako
-Vusi thembekwayo
-Grant cardone
-Robert kiyosaki

they teach ...n not hyping
content kubwa ipo youtube
pia kama ni msomaj wana vitabu vyao
thank me later


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…