Wewe umeamua kwa maksudi kabisa kuwasema chadema kwa kuwa toka kianze bado wamepanga pale Kinondoni kwenye nyumba ya kiongozi wa chama.Hiki chama kinapata wapi mapato yake hususani hawasemi? Wanaweza kusema labda ni wanachama mimi nasema la hiki chama kinapata wapi mabilioni ya kuwapa wasanii kama kina Diamond na wengineo wengi.
Bora hata vyama vya upinzani CHADEMA for instance mbali na ruzuku wanapata pia misaada kutoka vyama rafiki nje lakini mbali na CCM nadhani si ruzuku tu.
Huenda pesa zinachotwa serikalini hakiwezekani chama hakijulikani mapato yake yanatoka wapi ambapo wanagharamia mabilioni ya pesa kwenye vijimikutano yao.
Isiwe ikawa ni kodi zetu
Nakutajia kwa uchache sana vitega uchumi vya hao ccm
1.Viwanja vya mipira vikubwa eg CCM kirumba, etc
2.Majengo ni mengi mno eg makao makuu ya Airtel,Zantel,jengo la vijana pale karibu na DIT etc etc
3.wanachama zaidi ya 8M
Etc etc etc etc