Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,591
- 123,084
Ccm ndio chama tajiri barani Africa hebu jaribu kufuatilia tu kwa mkoa unaoshi wewe Mali za ccm tu then rudi tena kuandika hapa
Hapohapo kabla hujaondoka piga mali wanazomiliki ni ngapi walizipata wakati wa vyama vingi na ngapi walipora zilizopatikana wakati wa chama kimoja enzi za chama kupiga hatamu. Asilimia 80 walipora zilizojengwa kipindi ya chama kimoja wakati fedha za chama zilipokuwa zinakusanywa na kuchanganywa na za umma. Tuache hilo, umewahi kuangalia hizo mali kama viwanja na majengo zina hali gani kwa sasa? Nadhani hata kupiga rangi imekuwa ni shida. Kama huamini muulize Kinana.