Umekwama hoja unaropoka bila utafiti mdogo tu wa kawaida ili mradi ujiridhishe kuwa wewe ni mpinzani upinzani sio lazima kupinga kila kitu kusifia tunajua ni dhambi kubwa sana kwa upinzani lkn ni bora ukae kimya kuliko kuponda bila hoja unapoteza nguvu ya upinzani tuliyoizoea nguvu iliyotuibulia madudu mengi ya ccm km escrow epa meremeta richmond n.k upinzani ni muhimu sana katika maendeleo ya taifa lkn sio upinzani wa kutunga uwongo na kuedit picha za pangaboi zimeanguka n.k hongera kwa wabunge wa upinzani wanaojielewa na tegemeo la wananchi kama nassari zitto kafulila dr slaa (enzi zake) mbatia sugu na wengine wengi.