Utata Chuo Kikuu Mtwara (2016)

Utata Chuo Kikuu Mtwara (2016)

MWL KITOI

New Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
3
Reaction score
1
Ndg wadau nina masikitiko makubwa kuhusu vyuo vikuu vinavyopandisha ada kiholela, hilo limetokea mwaka huu wa masomo 2016/17 katika chuo cha Stella Maris Mtwara University Collage, kwamba wamepandisha ada (administrative fee kutoka 132000/- hadi 320000/- hili ni ongezeko Tsh 200000/- kubwa linalostajabisha wanafunzi wa chuo hicho hawakupewa taarifa ya ongezeko la kiasi hicho cha fedha mapema, taarifa ilitolewa tarehe 24/09/2016 siku moja baada ya chuo kufunguliwa (23/09/2016).... Je kutokana na sheria za vyuo vikuu kuhusu ongezeko la ada sheria inasemaje? Naomba msaada wenu wadau.

by Mwl Kitoi
 
Bado hauweleweki kuhusu ongezeko maana ada ya mwanzo ni 132,000/= hadi 320,000/= ni sawa na ongezeko la tsh 188,000/= je ndiyo ada ya mwaka mzima na kama ni hivyo je kwa level ip maana mpaka hapo inaonekana ipo chini sana
 
Hicho kikuu kiko maeneo gani? Ndio kile kipo pale ilipokuwa Maposeni
 
Ongeana nao wawakilishi wenu as serikali ya
 
Back
Top Bottom