Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,346
- 21,244
Captain, kwa utaratibu upi alipanda mpaka kufika hicho cheo?Yes, inawezekana kabisa, nina ndugu alianza na V moja, currently ana nyota 3. Nadhani unajua mtu mwenye nyota 3 ana cheo gani.
Mimi namfahamu mwingine sa hivi Ni luteni kanali.Yes, inawezekana kabisa, nina ndugu alianza na V moja, currently ana nyota 3. Nadhani unajua mtu mwenye nyota 3 ana cheo gani.
Urio kila kitu hajuiHilo swali mpe kibatala amuulize lt. Urio.
Ndio maana nikasema ninachojua mm elewa kwamba kuwa mjinga sio kosa hata ww unaweza kuwa mjinga ktk jambo lingine, haya nieleze unachojua ww ili niondoe huu ujinga.Siku ukijua utajiona mjinga wa mwaka kwa kuandika pumba ya aina hii.
Inawezekana na wengi Sana wamefanya hivyo na Sasa ni ma ofisa wakubwa tu.Haiwezekani kusoma ukaongeza elimu ukiwa jeshini? Ukafanya mitihani ya kidato cha sita
,diploma au digrii?
πππ Unabana makalio chap chap.Raia huwezi kuwa askari ila askari niliweza kuwa raia.... UNAJUA ILE KUSUJUDIA WATU ILINIFANYA NIKACHE UTUMWA ULE.....Unakuta kichalii tu kinapita kinakujambisha kisa cheo....
Kuna watu wanapenda sana kuongelea mambo wasiyo na uelewa nayo,wanaishia kuwa kituko tu.Siku ukijua utajiona mjinga wa mwaka kwa kuandika pumba ya aina hii.
Hatari sana mkuu.Kuna watu wanapenda sana kuongelea mambo wasiyo na uelewa nayo,wanaishia kuwa kituko tu.
Sir meja ni cheo gani?
Haiwezekani kusoma ukaongeza elimu ukiwa jeshini? Ukafanya mitihani ya kidato cha sita
,diploma au digrii?