Utaratibu wa mirathi PSPF msaada

mchumi tumbo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
830
Reaction score
997
Kama kichwa kinavyojieleza.Ni mgeni kwenye hilo suala nimeleta jukwaani nipate abc kidogo kwani kuna mdogo wangu anafuatilia mirathi yake.Ni ya muda mrefu kidogo kwani msimamizi wao alikuwa sio mfuatiriaji na kwa sasa ilipofikia ni wanasema ipo kwenye foleni ya kuandikiwa cheque.Naomba kujua inachukua muda gani kwenye hiyo foleni mpaka kuandikiwa cheque na kudeposit hizo fedha.
Mwenye uhitaji ni mtoto na ni bado mwanafunzi.Msaada


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo huyo mdogo wako ndie anayepewa hiyo hundi au ni huyo ambaye alifanya uzembe wa kufuatilia?
Jambo la pili sasa hiyo mifuko imeunganishwa hakuna tena PSPF
 
Kwa hiyo huyo mdogo wako ndie anayepewa hiyo hundi au ni huyo ambaye alifanya uzembe wa kufuatilia?
Jambo la pili sasa hiyo mifuko imeunganishwa hakuna tena PSPF
Namba za account zilitolewa za wote wakasema kuna kiasi kitawekwa kwa msimamizi wake kwani umri wake mdogo bado so ni tegemezi..
Kuhusu mifuko nashukuru kwa kunijuza hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…