Utaratibu wa kuvuta umeme umekaaje?

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
Kama kichwa cha habari hapo juu chajieleza,ningependa kujua mchakato wa kuweka umeme baada ya kufanya wiring umekaaje, mimi sito hitaji kuweka nguzo ya umeme.
 
Kama kichwa cha habari hapo juu chajieleza,ningependa kujua mchakato wa kuweka umeme baada ya kufanya wiring umekaaje, mimi sito hitaji kuweka nguzo ya umeme.
Search humu TANESCO utakutana na uzi wao unaoelezea hili but ukiwa na maswali yako nje ya kile walichoandika wao sidhani kama utapata majibu kwa wakati
 
Tshs 321000/= Bila Nguzo Pia Unaweza Kujiridhisha Kwa Kutembelea Ofisi Zao Ingawa Kabla Hujalipa Kiasi Hicho Lazima Surveyor Aje Aone Nyumba Na Wiring
 
Search humu TANESCO utakutana na uzi wao unaoelezea hili but ukiwa na maswali yako nje ya kile walichoandika wao sidhani kama utapata majibu kwa wakati
 
Nenda tanesco na kitambulisho chako km NIDA, cha Kura, license ya gari na picha ya passport size uombe application form upeleke kwa fundi aliekufanyia wiring achore wiring diagram igongwe mihuri Na contractor urudishe form tanesco taratibu nyingine utapewa tanesco
 
Back
Top Bottom