Utaratibu wa kupata leseni kuwa mradiolojia Tanzania.

Himidt Lengo

JF-Expert Member
Jan 4, 2018
307
244
Habarini ndugu ?
Nilihitimu bsc in physics, niliona tangazo la kazi Muhas walihitaji medical physicist mwaka Jana 2017. Walihitaji medical physicist, aliye na digri ya physics, radiology au medical physicist (ila wenye leseni ya Medical radiation and imaging council of Tanzania).Ninaomba wanaofahamu utaratibu wa kupata leseni, gharama na muda wa kuipata hiyo leseni, basi wanielekeze ili niitafute nikajifunze nipate uzoefu wa hiyo taaluma ili baadae nafasi kama hiyo ikitoka, basi nije kuiomba.
Nawatakia Wikiendi njema.
 
Back
Top Bottom