Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata Leseni ya udereva

Nenda ama tafuta Cheti cha Driving, Kisha utaenda Polisi/Vehicle(Wengine wapo TRA hapo hapo) hao wajiridhisha kama una Vigezo, then utalipia Gharama TRA hapo, Kisha Ngoja Walau siku 3.

Ila Bongo inawezekana kila Kitu ni Kujiongeza tu
 
Back
Top Bottom