Utaratibu wa kuhama chuo kuja MUHAS

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
344
Ni taratibu zipi ambazo mwanafunzi aliyemaliza mwaka wa pili anatakiwa azifuate ili aweze kuhamia MUHAS aendelee na mwaka wa tatu?
 
Kwa ushauri wangu kwako, nenda moja kwa moja MUHAS kaulize kama kuna huo uwezekano, ikiwa uwezekano wa kuhama upo, hao watakupa procedures za nini ufanye,
 
Back
Top Bottom