Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 842
- 1,743
Mkuu watu hatuna hamu nilikuwa ccm ila naona connection zinapungua na hivi jamaangu wa Dodoma TRA kasimamishwa kupisha uchunguzi ndo alikuwa connector sielewi hata pakushikaNami nasubiri, wakija nitag mkuu
Tunaishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kutufanya tuwaze kufunga leseni.
Badili gia angani haraka iwezekanavyo, ukichelewa na account zako zitafungiwa na kutaifishwaMkuu watu hatuna hamu nilikuwa ccm ila naona connection zinapungua na hivi jamaangu wa Dodoma TRA kasimamishwa kupisha uchunguzi ndo alikuwa connector sielewi hata pakushika
Mkuu nilishasafika huko hata wakifunga maana sio muda viwango vya utoaji pesa benki vinapunguzwaBadili gia angani haraka iwezekanavyo, ukichelewa na account zako zitafungiwa na kutaifishwa
Sauti haitoshi manMkuu watu hatuna hamu nilikuwa ccm ila naona connection zinapungua na hivi jamaangu wa Dodoma TRA kasimamishwa kupisha uchunguzi ndo alikuwa connector sielewi hata pakushika
Habari za jioni wakuu napenda kujua utaratibu wa kufuta leseni ya biashara nataka niifute ili nifanye biashara bila leseni kuepuka gharama za kikokotozi cha TRA ,
Najua tupo wengi tunaotaka kufuta leseni
Kwanini ufunge? Lipa kodi tujenge nchi.
Kwenye kuchukua TIN ndo kipengele maana kuna vitu navofanya vingine vinahitaji TIN # ya kibiashara DA ah kweli hakuna jiwe litasalia juu ya TRATRA wana deal na ile TIN ya biashara waliyokupa, leseni ni ile uliyokata manispaa/ halmashauri kama sikosei.
Ukitaka kufunga biashara unaandika barua TRA ukieleza unafunga lini na sababu na uki ambatanisha na ile TIN ya “commercial” kumbuka afisa wa TRA aliyekua anakukadiria kodi zako ajue maana atakusaidia process hii, ikifika mwisho utapewa TIN ya non commercial na ile ya commercial wataichukua
Naigawa biashara sehemu nne so hwatanipataOle wako ufunge leseni ya Biashara na wakukute unafanya biashara bila ya leseni
Watakupiga ile kesi maarufu aliyopewa Kabendera
Kuratibu & kuanzisha Kundi la Uhalifu, huku kundi lenyewe likiwa na mtu mmoja ambae ni wewe peke yako
Zinakuwa kesi 3 kwa mpigo, kuanzisha Genge la Uhalifu, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha
Mkuu we unalipaKwanini ufunge? Lipa kodi tujenge nchi.
Asante ndakuja kukupa na wewe pole one day
Inatosha mkuu kwa usawa huuSauti haitoshi man
Hahaha nakata ushuru kila siku mia mbili.Mkuu wewe ile business yako ya matunda unalipa kodi?
Ndio mia mbili kila siku.Mkuu we unalipa