UTARATIBU WA KUFUTA LESENI YA BIASHARA

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
842
1,743
Habari za jioni wakuu napenda kujua utaratibu wa kufuta leseni ya biashara nataka niifute ili nifanye biashara bila leseni kuepuka gharama za kikokotozi cha TRA ,

Najua tupo wengi tunaotaka kufuta leseni
 
Nami nasubiri, wakija nitag mkuu

Tunaishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kutufanya tuwaze kufunga leseni.
Mkuu watu hatuna hamu nilikuwa ccm ila naona connection zinapungua na hivi jamaangu wa Dodoma TRA kasimamishwa kupisha uchunguzi ndo alikuwa connector sielewi hata pakushika
 
Badili gia angani haraka iwezekanavyo, ukichelewa na account zako zitafungiwa na kutaifishwa
 
Mkuu nilishasafika huko hata wakifunga maana sio muda viwango vya utoaji pesa benki vinapunguzwa
 
Habari za jioni wakuu napenda kujua utaratibu wa kufuta leseni ya biashara nataka niifute ili nifanye biashara bila leseni kuepuka gharama za kikokotozi cha TRA ,

Najua tupo wengi tunaotaka kufuta leseni

TRA wana deal na ile TIN ya biashara waliyokupa, leseni ni ile uliyokata manispaa/ halmashauri kama sikosei.

Ukitaka kufunga biashara unaandika barua TRA ukieleza unafunga lini na sababu na uki ambatanisha na ile TIN ya “commercial” kumbuka afisa wa TRA aliyekua anakukadiria kodi zako ajue maana atakusaidia process hii, ikifika mwisho utapewa TIN ya non commercial na ile ya commercial wataichukua
 
Ole wako ufunge leseni ya Biashara na wakukute unafanya biashara bila ya leseni

Watakupiga ile kesi maarufu aliyopewa Kabendera

Kuratibu & kuanzisha Kundi la Uhalifu, huku kundi lenyewe likiwa na mtu mmoja ambae ni wewe peke yako

Zinakuwa kesi 3 kwa mpigo, kuanzisha Genge la Uhalifu, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha
 
Kwenye kuchukua TIN ndo kipengele maana kuna vitu navofanya vingine vinahitaji TIN # ya kibiashara DA ah kweli hakuna jiwe litasalia juu ya TRA
 
Ole wako ufunge leseni ya Biashara na wakukute unafanya biashara bila ya leseni

Watakupiga ile kesi maarufu aliyopewa Kabendera

Kuratibu & kuanzisha Kundi la Uhalifu, huku kundi lenyewe likiwa na mtu mmoja ambae ni wewe peke yako

Zinakuwa kesi 3 kwa mpigo, kuanzisha Genge la Uhalifu, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha
Naigawa biashara sehemu nne so hwatanipata
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom