Utaratibu wa kufata baada ya kununua magari Serikarini

Samatime Magari

Senior Member
Feb 10, 2017
103
388
Wakuu naomba kujuzwa baada ya malipo ya kulipia magari chakavu ambayo huuzwa na serikali ni gharama gani nyingine natakiwa kulipia ili kubadili umiliki wa zile gari.
 
Wakuu naomba kujuzwa baada ya malipo ya kulipia magari chakavu ambayo huuzwa
na serikali ni gharama gani nyingine natakiwa kulipia ili kubadili umiliki wa zile gari.
UTAELEKEZWA HUKO UNAPONUNUA HILO GARI,INATEGEMEA GARI ILIPOINGIZWA ILIINGIZWA KWA UTARATIBU GANI NA INAMILIKIWA NA SERIKALI KWA UTARATIBU UPI,MFANO GARI YA TISS INAYOUZWA SI SAWA NA WIZARA, MAWAKALA NA MAMLAKA TOFAUTI TOFAUTI AU MASHIRIKA KM TANESKO NA TRC NK YOTE HAYO NI YA SERIKALI ,ILA CHA MSINGI HATUA ZA MWANZO NA MWISHO ZINAFANANA.
MUHIMU,WASILIANA NA AFISA USAFIRISHAJI WA KITENGO HUSIKA
 
ASANTE MKUU KWA MAWAZO YAKO
 
Cha msingi we tembea nalo hivyo hivyo kama lina STK/SU/SM etc ili upunguze kusumbuliwa na traffics barabarani.,utabadili plate no. Mbeleni huko.
SIDHANI KAMA INARUHUSIWA HII NISIJE NIKAWA NAVUNJA SHERIA BILA KUJUA
 
Ninavyofahamu kinadharia lakini, magari ya serikali hayajalipiwa import dutyna VAT. So, inabidi gari yako ifanyiwe valuation na mahesabu na TRA ili ulipie duty, baadaye ubadili umiliki toka serikali kuwa kwako, na kupewa namba mpya za kiraia.
 
Kama ni cruza, nenda kanunue gari bovu kabisa lisiloenda hata likijatengenezwa, alafu nenda serikali kanunue cruza zao waambie unalinunua ka la spear ufufue la baba ko , na utalichinja, alafu peleka gereji ngoa plet namba ya gari lile bovu weka kwa gari lipya. Pasua anga
 
Kuna mjumbe mmoja kasema vyema hapo juu, ukishapewa barua ya kukabidhiwa gari na ukafanya malipo (malipo ya ununuzi wa gari), barua hiyo itakuelekeza kufanya malipo ya kodi husika za TRA na kufuatia na taratibu za kawaida za kupatiwa namba za gari za kiraia kutoka kwa zile za Serikali, wasiliana na watu wafuatao Ofisini kwako (Ofisi ya Serikali) watakuwa wa msaada:-
Mkuu wa Idara ya Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu au Mkuu wa Kitengo cha Ugavi na Manunuzi.
 
Back
Top Bottom