Utaratibu wa kuanzisha Radio

Utaratibu wa kuanzisha Radio

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,907
Reaction score
1,082
Wakuu sana JF,
Nina mpango wa kuanzisha radio lakini sijui vizuri taratibu nianzie wapi na watu wa TCRA?
Naomba kujua ni nini natakiwa kuwa nacho mbali na vifaa/mitambo?
Je ni form zipi natakiwa kujaza ili kupeleka TCRA?
Tuendelee kupeana elimu nataka nijikwamue kupitia huko.
Nitashukuru kwa mtu atakayenipa ushirikiano!
 
There is friend of mine does radio stations consultancy, he is reliable and affordable.
here is his website, www.radiotz.com

Wakuu sana JF,
Nina mpango wa kuanzisha radio lakini sijui vizuri taratibu nianzie wapi na watu wa TCRA?
Naomba kujua ni nini natakiwa kuwa nacho mbali na vifaa/mitambo?
Je ni form zipi natakiwa kujaza ili kupeleka TCRA?
Tuendelee kupeana elimu nataka nijikwamue kupitia huko.
Nitashukuru kwa mtu atakayenipa ushirikiano!
 
kuna uzi alianzisha Radio Producer nimeutafuta ila sijauona, una details zoooote, ila wasiliana na uyo jamaa yuko njema sana kwenye mambo hizi

Wakuu sana JF,
Nina mpango wa kuanzisha radio lakini sijui vizuri taratibu nianzie wapi na watu wa TCRA?
Naomba kujua ni nini natakiwa kuwa nacho mbali na vifaa/mitambo?
Je ni form zipi natakiwa kujaza ili kupeleka TCRA?
Tuendelee kupeana elimu nataka nijikwamue kupitia huko.
Nitashukuru kwa mtu atakayenipa ushirikiano!
 
Last edited by a moderator:

Tofauti na me kuwa radio presenter ila nilinotice sehemu muhimu katika kuanzisha Medium kwanza kabisa ni kuisajili TCRA ili wakupe masafa na sheria zote pia TRA wanahusika japo huwa kuna mwezi wa kujaribu mitambo yako na kupanga utaratibu wa vipindi. Ningekushauri utembelee ofisi za TCRA kujuzwa vyote vya muhimu
 
Back
Top Bottom