Wapendwa akuna asiependa globalization kama wanavyoita watanzania
ila kuna huu upupu ni hatari sana umekuwa ugonjwa mbaya kuliko ukimwi
hili swala la kugawana namba ni ugonjwa mbaya sana,,aiwezekani mtu anakuja saa nne
anachukua namba anaenda nyumban anaelekea airport na kurudi anakuta ajaitwa
huu ni upuuzi CRDB msiige vitu msivyoviweza mtakimbiwa na kila mmoja.....
Jamani imagine mtu anafika na kupewa karatasi namba 578 wakati hata 180 ajaitwa
hamuoni hu ni ushenzi na uppuuzi wa ajabu.......,alafu embu watanzania sijui niwaite hawa
jamaa washenzi ama wamefika namba 363 dada anaeiita akachoka wakabonyeza mashine ikaakaa
kimya wasivyo wastaarabu hawa wanga wameshindwa kusema wamechoka watu wamekaa dk 10
awaiti ndipo zogo likaanza akaja kabinti mmoja amekomaa kama mbuyu wa pale mbuyuni kituoni
kuanzia 360-380 wapange folen so utaona huu ni upuuzi kwenye folen unakuta wa 380 anaanza
maana ya namba inakuwa ushenzi mtupu....
EMBU JAMANI BADILIKEN CRDB HUU NI UJINGA WA AAJABU KABISA TUBADILIKE MSITUTESE KWA KUWA ATUNA PA KUKIMBILIA NOW TUMECHOKA IPO SIKU WAJWAZITO WATAWAFIA NA WATOTO MLE NDANI WAKIZAA NDIO MTAJUA HII MSG NINAYOWAAMBIA
MWENYE SIKIO NA SIKIE ASEMA
PDIDY
ulichokisema ni kweli!lakini hebu jaribu kupunguza jaziba!!infwakiti system hii wasingeifanyia uhuni na sisi wtumiaji tukaacha uhuni wa kuchukua namba na kurudi kuoga nyumbani ingesaidia!!lkn kwa style uliyoisema kazi badi ni ndefu!!
pdidy
pole sana na kadhia hii iliyokupata hapo crdb, please take a breath then, tulia kidogo then edit hii post ili tuweze kuilewa vizuri. Naona kama umegusia tatizo la kupewa namba kwenye foleni, lakini haijaeleweka vizuri maana yake umeunganisha mambo mengine.
Ni maoni yangu tu baada ya kuipitia na kukukuta sijapata ujumbe uliokusudiwa vizuri.
Sijaelewa kitu! Kwa maana hiyo mfumo huo usitumike? Hii ni bongolala sana. Mfumo huo upo sehemu nyingi. Namba inapoitwa AMA kuwa displayed isiyokuwepo hurukwa na kuhudumia nyingine. Nenda ubalozi wa UK hapo umoja hse ama US embassy wanatwanga mfumo huo. Mleta mada nadhani anapombe kichwani za mapinduzi!

Kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe.Kwenye thread hujaeleza ulivyooanisha CRDB na kanisa.
Halafu ndugu unapokuwa na hasira jaribu kutoandika chochote kama email,barua ,kupiga simu au kuongea.Namaanisha ushikwapo na hasira jaribu kusubiri mpaka zimekwisha ndipo ufanye maamuzi,ona ulichokiandika hakieleweki ni sawa sawa tu ulikuwa ndani ya benki ya CRDB tawi la Mlimani City ukakasirishwa na huduma then ukatoka nje na kuanza kumsimulia mteja mwingine.
Sisi sote hatukuwepo CRDB tawi la Mlimani City kwa hiyo unatakiwa ukae chini utulie na ku-edit thread yako,uanze na Introduction na then background fupi ya hiyo teknology.Baada ya hapo unaweza ukadiscuss ubaya wa huduma inayotolewa hapo CRDB tawi la Mlimani City.
Mwisho ukatoa suggestion ambayo ita-hang kuruhusu wana JF wachangie AU unaweza usitoe suggestion na ukaiacha kama swali ili wana JF wachangie.