Utaratibu huu kwa wanafunzi umekaaje?

Utaratibu huu kwa wanafunzi umekaaje?

chongoe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,223
Reaction score
2,978
Habari zenu waungwana

Naomba kuuliza huu utaratibu wa kila mwanafunzi kutoa elfu kumi (10000/-) kila mwezi upo Serikalini au Mipango ya Walimu tu maana hapa Mafia shule zote hasa Secondary wameamua hivyo na mwanafunzi akikosa pesa anapigwa

Hebu niambieni au tunapigwa.
 
Back
Top Bottom