Prince toyboy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 375
- 366
Sasa kwa masingo boy kama sisi hizo hela si tutabeba bila mtihani
Reality good pointKwanza haiwezi tokea
Na hata ikitokea siwezi kumuacha mwanamke wangu ambaye najua she is my all!!.
Haiwezi tokeaUnaambiwa upewe mil10 uachane na mpenzi wako umpendae,je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenz unaempenda?
Me ntapokea pesa na ntaachana nae mazma wala nyuma sitageuka!
Ha ha haSaa nyingine jina huwa haliendani na mtu alivyo
Ahahahahah....
Natafuta mwanamke wa aina yako mkuuWhat is millioni Kumi?..Love is priceless
Sina wasi wasi na kabila lako mkuu, mnatisha watu huku mitaani zaidi ya ukomaAhahahahah,kabisaaa pesa kwanza
Haya maswali mengine ya kijinga sanaUnaambiwa upewe mil10 uachane na mpenzi wako umpendae,je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenz unaempenda?
Me ntapokea pesa na ntaachana nae mazma wala nyuma sitageuka!