Halafu unalipia kabisa bila kuonana na mhusikaWengi wanapigwa kwa kutotumia akili we mtu unaambiwa eti TV ambayo thamani yake 2 mls unaambiwa eti laki 7 mpya kabisa. Hivi kwanini usishtuke?
Na mhusika anakwambia yuko Zanzibar wakati wewe uko SingidaHalafu unalipia kabisa bila kuonana na mhusika
harafu unasema umeibiwa na watu wasiojulikanaHalafu unalipia kabisa bila kuonana na mhusika