Utapeli wa kazi umezidi

Utapeli wa kazi umezidi

Little Angel

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,212
Reaction score
373
Habari, naitwa Shafii From Health Gear Dar. Nipo kikaoni tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for Project officer. I Like your Cv na ntakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo, Mshahara ni 1.5 Million kwa mwezi, ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa Sh. Laki 3 for helping you, If you agree do the following, By saa 11 Jioni uwe Umetuma Scaned Copy Ya vyeti Vyako to africfuture@gmail.com Na Sh. Elfu 35 by Tigo pesa kwenye namba 0656311676 au M-pesa 0768978077 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia kwenye e-mail, Nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for Interview.
 
hahaa...mambo haya mbona tumeyashtukia looong..

labda watafute njia ingine.. pu..mb.fuuuu zao..
 
Ni DECI ila sidhani kama wapata mtu yaani pesa ndiyo interview hii Nchi ni 7 Wonders jamani.
 
Kwani maswali ya interview ndo yanampa mwombaji ajira!Je kama wapo 5 nafasi ni moja inakuwaje?Akili kichwani.
 
Hawa wengine wanadhalilisha tasnia ya utapeli...utapeli ni tasnia inayofanywa na watu wenye akili....m2 unakua twisted, na hutoki na sio huu wizi wa kijinga!! Tapeli wa kweli anakuibia kisha mwenyewe unabaki upande mmoja unalia na upande mwingine unajicheka!
 
Hawa wengine wanadhalilisha tasnia ya utapeli...utapeli ni tasnia inayofanywa na watu wenye akili....m2 unakua twisted, na hutoki na sio huu wizi wa kijinga!! Tapeli wa kweli anakuibia kisha mwenyewe unabaki upande mmoja unalia na upande mwingine unajicheka!

nazDas, ha ha haaaa! i cant agree more with you
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi wameni2mia na ckumbuki kama nimeomba nafac hyo kwao. Duh wiz mtupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom